Siku utakayoweka ushahidi wa Chadema kuwa Chama cha wachagga nitaweka wa kwangu. Kikubwa ni kuwa Wana KIGOMA kutokana na unafiki wenu, kuendekeza njaa kwenu na ujinga uliowajaa, hamtaweza kufanikiwa hata maramoja hata muanzishe vyama mia mia
Fikiri upime sana, sinilaumu bilashi,
Fikiri pasi sonona, uwe bora mtumishi,
Fikiri na tulizana, katu usiende joshi,
Fikiri hafidhina, njia zako hazitoshi.
Fikiri upate jua, sikia we mkundaji,
Fikiri waja gundua, dunia yote si maji,
Fikiri waja tambua, taifa lakuhitaji,
Fikiri waja ng'amua, barafu pia ni maji.
Wino wa zafarani,Umeisha si utani,
Ya manjano zafarani, hamna tone chupani,
Kuandika natamani, wino sinao jamani,
Loo!!! niko tamatini,wana jamvi kwahereni