Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Habari wanajamvi! Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo?
Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.
Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu! ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites"!!! kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.
Anyway, ni hilo tu kwa siku ya leo.
P.S. mods kama kawaida yenu, ila angalau nimetoa ya moyoni. Imebidi nizoee nyuzi zangu kukaa kwa dakika 5. Thanks