Nimeichoka TBC1 ndani ya DSTv

Kila mtu na mtazamo wake, mimi pia nina Dstv lkn TBC kila nikiweka nipate habari za nyumbani, naambiwa "no service" nasikitika kuikosa, ninyi mnaipata hamtaki kuiona.
mi pia TBC haisomi.Yani wamekata chanel zote .Ila hata ingebaki TBC mimi siwezi kupoteza muda kuangalia.Bora niende kuzurura kitaa.
 
Mkuu mi naangalia channel 158 na 182 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…