Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
RT=Radio TanzaniaTBC ni sawa na RT ya Russia ipo kwa ajili ya kuisema marekani mapungufu yake tu haisemi mazuri yake hata kidogo, ndivyo ilivyo kwa TBC iko kwa ajili ya kuusema upinzani vibaya na kuisifia ccm.
Ndiyo wahanga hakuna namnaNaona hapa kila mtu ana dstv sisi wa banda umiza tunawachora tu...
Russia TodayRT=Radio Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeRussia Today
kumbe!Russia Today
Hunizidi mimi mkuu!! Mpaka sasa Tv yangu imeshona buibui kwa kutowashwa sababu ya hili li TBC!!Huko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.
Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…
Ni kero sana kwangu hii televisheni.
Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…
Haaaa haaaaHunizidi mimi mkuu!! Mpaka sasa Tv yangu imeshona buibui kwa kutowashwa sababu ya hili li TBC!!
Delete tuuTBC ni sawa na RT ya Russia ipo kwa ajili ya kuisema marekani mapungufu yake tu haisemi mazuri yake hata kidogo, ndivyo ilivyo kwa TBC iko kwa ajili ya kuusema upinzani vibaya na kuisifia ccm.
RT ya russia sio radio tanzania ni russia todayRT=Radio Tanzania
hauko peke yako. mimi naangalia KTN ya Kenya. BBC na hata Bukedde japo sijui kiganda. Dr. Bashiru au Mkuu wa halmashauri fulani au ngoma zetu.zamadamu siangalii hata watoe mafuta bureHuko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.
Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…
Ni kero sana kwangu hii televisheni.
Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…