Mkuu,
ukitaka kuweka avatar fuata hii link
https://www.jamiiforums.com/usercp.php kisha pembeni kushoto tafuta sehemu imeandikwa
MY SETTINGS, chini yake utapata option imeandikwa
Edit Avatar.... Basi ukishafungua itakuonesha sehemu inayosema
Upload Image From Your Computer: mbele yake kuna kiboksi kimeandikwa
Browse, ki-click na moja kwa moja kwa moja itaingia kwenye system yako na utakachotakiwa kufanya ni kuchagua picha unayotaka kutoka mahali ulipoiweka kwenye system yako then unai-upload..
Natumaini maelekezo yangu yatakusaidia....