Nimeichoka clouds fm kwa unafiki

Nimeichoka clouds fm kwa unafiki

Sio matusi lakini angalieni na elimu zao jamani unadhani wasipojikomba wataishije mjini? They are used just like toilet papers then unaflash away kama hivi fyaaaaaaaaaaaaaaa!

Ni kweli ndugu yangu, unaweze tupa hizo CV?
 
Ofisa uhusiano wa Clouds Nyani Ngabu nitashangaa kama hatojitokeza kwenye thread hii!!......
 
Last edited by a moderator:
Tumeshachoshwa na malalamiko haya ya kipuuzi kila kukicha cloud vile Kibonde hivi, nyinyi ni wapenzi wa clouds na ndio maana mnasikiliza hiyo redio ya mashoga, wakiwakera wana page zao facebook na wana blog zao pelekeni malalamiko yenu huko. Fanculo.

Ha ha ha ,mkuu,umenichekesha!eti Fanculo,tena,fanculo madona!
 
Sikuelewi! Inakuaje unasema chakula kina mawe huku unaendelea kukila? Inakuaje unasema mboga ina chumvi nyingi huku unaendelea kuchovya tonge? Mwana JF amka wenzio hatuusikii upuuzi huo kwakuwa tulisha hama mabondeni siku nyingi. Redio Statio zenye maadili zipo nyingi, achana na watu wenye taaluma za majungu wanaujua ukweli lakini kwa kulinda maslahi yao wanaziba masikio na kufungua midomo michafu.
Nampongeza MR. II a.k.a Sugu kwa kutufungua macho kwani kabla ya hapo sikuelewa ni kwanini Raisi wa Nchi hii Mheshimiwa JK aliamua kuikabidhi Studio iliyotolewa na Wahisani kama msaada kwa wasanii wote Kampuni ya Prime Times Promo iliyochini ya Clouds Ent. Unategemea nn hapo?
 
Kibonde ndo kada wa ccm anaongea upuuzi tu...
 
Back
Top Bottom