Inasikitisha sana mkuu 😂Mwakasege na Diana wakikunasa usiku hutoki salama. Tuwe makini nao.
😂😂.Inasikitisha sana mkuu 😂
Anhaa! kwa uzoefu wako 6a used naweza nikapata kwa shingapiHii ya kwangu haina tatizo hata moja, ipo vizuri na wengi walidhani nimenunua simu mpya nilipowaonesha
Ila mind you, mara ya kwanza nilichukua simu used (Pixel 7a) kisha nikarudi home kutumia baada ya kukagua na kuangalia kioo kwa ukaribu nikaona OLED burn in (Yani Kuna maandishi yapo kwenye kioo kwa mbali na hayatoki, kwa haraka huyaoni ila ukitaka kuyaona weka wallpaper nyeupe ndio unayaona) nikarudisha simu dukani
Kisha wakazimwaga Pixel 7A mezani nikaanza kukagua vizuri kwa umakini sana ndio nikapata hii niliyokuwa nayo sasahivi ambayo ni nzima kwa asilimia 100. Hata ile ya mwanzo ilikuwa nzima ila kasoro yake ni hiyo "OLED burn in"
Ukinunua used kuwa makini na simu utakayochukua, hakikisha unaikagua kiundani
Huwa naona mitandaoni wanauza 340K hadi 380KAnhaa! kwa uzoefu wako 6a used naweza nikapata kwa shingapi
Shukrani mkuu.Pole kwa yaliyokupata, naijui pressure ya kupoteza/kuibiwa simu hasa ya gharama kama hiyo walau ulikuwa ushaitumia kwa muda mrefu kidogo
Sasa mkuu nataka kubadili simu, naomba ukiwa na utulivu unisaidie kuorodhesha simu kali za mwaka jana au huu,,, simu hii nayotumia nakumbuka ni wewe ulinishauri na nikainunua ni nzuri muonekano, picha na namna inavyofanya kazi, nashukuru sana,
Kwenye simu utakazotaja please usihangaike na
IPhone sababu itanisumbua sijawahi kuitumia
Google pixel muonekano unawafaa wanaume hivyo hainivutii
Napenda simu yenye umbo dogo, isiyo ya kunitanua vidole, asante
Asante kwa ushauri.Huwa naona mitandaoni wanauza 340K hadi 380K
Kwa sababu ni used bei zina vary wengine wanauza hadi 400K
Lakini ni bora utafute 7A kwa sababu hata kwa Dar huwa naona baadhi ya maduka yana advertise wanaziuza kwa bei as low as 370K, japo sijajua ubora wake. Muhimu ni kuzikagua tu kabla hujanunua
Mpya,Shukrani mkuu.
Simu zipo ila kujua simu gani inakufaa ni vyema utaje budget ya simu uliyo nayo na kama ni mpya/used
Naunga mkono hoja.Kwa hizo picha; hiyo camera ya pixel 7A ni kali sana
Ina high definition kama Iphone 14
Kama vitu vingine vipo sawa basi ni simu nzuri
Kwa simu zenye compact size unaweza kupata Samsung Galaxy S25 (plain). Hizi zinapatikana hapa Bongo kirahisi kwa bei kuanzia milioni 2 hadi milioni 2.4 kulingana na storage utakayochaguaMpya,
max ni mil 3
iPhone 14 inazidi Pixel 7 kwenye videography. Kwenye still picture 7 iko vizuri na kwenye night mode. iPhone pia iko vizuri kwenye sharing ya picture kwenye social media.Kwa hizo picha; hiyo camera ya pixel 7A ni kali sana
Ina high definition kama Iphone 14
Kama vitu vingine vipo sawa basi ni simu nzuri
Hiyo 6 pro ni balaa na nusuKwa hizo picha; hiyo camera ya pixel 7A ni kali sana
Ina high definition kama Iphone 14
Kama vitu vingine vipo sawa basi ni simu nzuri
Wanasema kila mtu na preference zakeAaah mkuu pole sana shabiki lialia wa Xiaomi brand. Usingeibiwa usingebadili simu maana ulikuwa unazikomalia sana Xiaomi.
Umeonja flavor nyingine sasa. Mimi natumia Pixel mwaka wa nne na nusu sasa. Hapo katikati nilitumia Sony na iPhone nikarudi Pixel.
Kasoro ya Pixel ni battery health kushuka mapema kiasi ila bado ni tatizo la Xiaomi pia. Simu nzuri kwa battery life ni Samsung then Sony, then Pixel, iPhone, Xiaomi. Mimi si mtunzaji mzuri wa battery, am abusive.
Lakini Xiaomi zinashuka haraka kutokana na speed kubwa zaidi ya kuchaji, Pixel hazijawahi kuwa na charging speed kubwa. Oppo zinaongoza kuwa na speed zaidi ila mara ya naitumia haikuwa na SuperVOOC bado hivyo sijajua battery life yao kwa kwa sasa.
Pixel 6 pro ukaaji wake na chaji ukoje mkuu?Aaah mkuu pole sana shabiki lialia wa Xiaomi brand. Usingeibiwa usingebadili simu maana ulikuwa unazikomalia sana Xiaomi.
Umeonja flavor nyingine sasa. Mimi natumia Pixel mwaka wa nne na nusu sasa. Hapo katikati nilitumia Sony na iPhone nikarudi Pixel.
Kasoro ya Pixel ni battery health kushuka mapema kiasi ila bado ni tatizo la Xiaomi pia. Simu nzuri kwa battery life ni Samsung then Sony, then Pixel, iPhone, Xiaomi. Mimi si mtunzaji mzuri wa battery, am abusive.
Lakini Xiaomi zinashuka haraka kutokana na speed kubwa zaidi ya kuchaji, Pixel hazijawahi kuwa na charging speed kubwa. Oppo zinaongoza kuwa na speed zaidi ila mara ya naitumia haikuwa na SuperVOOC bado hivyo sijajua battery life yao kwa kwa sasa.
Natamani udondokee mikononi mwa samsung s22 ultra au fold 4 uone balaa lake.Wanasema kila mtu na preference zake
Binafsi nimeitumia Xiaomi 12T Pro Kwa miaka 3 straight na ilikuwa perfect kwa matumizi yangu. Mimi kuwa shabiki wa Xiaomi ni dhahiri kwamba Xiaomi 12T Pro ilikuwa ni simu perfect na ilinifaa sana. Haikuwa na kipengele, na nilipanga nibadilishe mwaka huu miezi ya mwishoni.
Hata hivyo ulikuwa mpango wangu kujaribu kutumia simu za makampuni mengine. Sikujua tu ni lini nitanunua simu ya kampuni nyingine, hii imetokea ghafla, unexpected