Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,385
Reaction score
19,309
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
 
Subiri wataalamu waje watoe uzoefu
 
Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na simu upatiwi wanakuambia atujampata .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…