Mkuuu jionee mwenyewe pale.. number yake pale juu na anajibu ipo.... Je huyu tapeli anabadilisha mbiUsisahau kuleta mrejesho mkuu.
Na mimi nilitaka kuweka advert huko kupatana ila kwa hali hii hawa jamaa wamekosesha watu imani
Kama alivyo mdanganya jamaaa..Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
Na mimi nilitaka kuweka advert huko kupatana ila kwa hali hii hawa jamaa wamekosesha watu imani
Hapa ni kutumia njia ya panya mkuu..... Ukitumia njia za TCRA sijui police... Utazungushwa sanaa... Hapa unaset mipango tuu.. na kuwa na police wawili..TCRA NI JIBU HAWANA UWEZO WA KUWAKAMATA WAHALIFU WA MTANDAO
Yani vitu impossible kabisa...hiyo bei si ya tecno boom ?
Huu wizi huu kaka @k camp .. Hebu angalia huu wizi broh....
Ilikuchukua mda gani wapo wapi na gharama zao vipi? ili nikiibiwa siku niende ila huyu nae angeendaKaripoti polisi mkuu...hamalizi wiki huyo wanamkamata...siku hizi kuna kitengo cha cyber crime wako vizuri balaaaa. Mi nilibiwa iphone 6, kuna kifaaa wanacho polisi kina lokate popote ulipo...mwizi wangu alikutwa bar na simu
Nani yupo AirportNimelifatilia hili jamaa ana mchafua mhusika wa hizo id na jina hilo yuko mwalimu nyerere airport
Nani yupo AirportNimelifatilia hili jamaa ana mchafua mhusika wa hizo id na jina hilo yuko mwalimu nyerere airport