CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
umeshachukua RB polisi?!.
Heheheeee unanitega eeehdah kumbe we mrahc kuibiwa eeh,naomba kukuiba ths w-end kama platozoom hatakuwa amerud!
Kumbe Jirani huna uvumilivu?
Wiki mbili tu! Umemfungulia Sredi?
Mie nna wiki 3 simjui mke alipo, sijui anakula wp! Analala wapi!
ngoja nivute subira kama wiki,asipopatikana nahamia kwako. me suala la kukumbatia mto cjazoea!
Kashachelea tayari hana lake ngoja anajaribu kufanya mpango haramu kwa b52 ila bado pagumuukichelewa utakuta mwana si wako tena. Firt come first saved.
Too late shem wangu...hamia kwa BAGAH coz nayeye Bi nyakomba kapoteamh,ntajirekebisha. . . jaman platozoom rudi nyumban!
ngoja nivute subira kama wiki,asipopatikana nahamia kwako. me suala la kukumbatia mto cjazoea!
Uzuri wangu nina uongo ila ukinipata huniachii coz nakupa utakacho...sio pesa wala magari bali nakupeleka dubai saaaaficharminglady tulia. anakuja soon nimesha mruhusu. mie aliniambia ana mchumba
anamchunguza tabia ila bado hajaoa. huyu sio bure naona watakuwa marafiki
na Erickb52 sabb nae alikuja na uwongo kama huu. pole mamito.
charminglady tulia. anakuja soon nimesha mruhusu. mie aliniambia ana mchumba

Tafuta mnyonge wako na ww umuibie mama, ndo mjini tena hivyo!
Ila kwa PAW usithubutu kukutwa, nitakufurumua hata ardhi uliyoikanyaga NASA hawataiona!
jaman asante kwa kumruhusu yan nimekonda kwa wk 2. pia nakushukuru hope utakuwa umempa maujuzi!
hujakoma na Amyner!? simooo safari hii utatembelea viwiko!Heheheeee unanitega eeeh
Mbona kifua kiko wazi...unanitega eeeh?
Mbona miguu yako ya bia...unanitega eeeh?
Mbona unanigusa nanii yangu...unanitega eeh?
Mbona unanigusisha nanii zako....unanitega eeeh?
unabania M.B.U.N.Y.e ako unafikiri inaisha kama REXONA!...kapata anaempa VYOTE!
tafuta kidume kilichoibiwa mke ujiweke kwa muda!