hasara tupu. eid mubarak mamii.
pole kaka jaribu kumfata mshenga wenu
jaribu kugoogle mkuu utampata mwizi wako
Duh!!!!!katangaze ITV na CNN
nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani
Vitu vizuri vyoooooteee,loh! Nisije pigwa humu maana ulivyo super star si mchezo!!
Mjadala ni safi kwani sisi kina pagans, ndio kwanza tunajaribu kujifunza the truth, mwageni tu wazeee!
nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani
namkunaga vizuri mpaka anaomba po

Na wewe pia.
Nasubiria mwaliko wa pilau ujue