Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani

pole kaka jaribu kumfata mshenga wenu
 
Mke kaibiwa! Vipi anakuwaga na matatizo ya akili? Hajitambui? Au ni mdoli! Kama unahisi hivyo Piga simu kwa ndugu zake uliza kama yupo huko kwa ndugu. Ukute kuna tatizo limetokea kwao akaenda na akakutwa na matatizo ya kuibiwa ndo maana hapatikani kwenye simu. Pia toa taarifa polisi mapema maana akifa au mwili ukipatikana mahali wewe utawajibika kwakutokutoa taarifa. Ila jamani wanaume tujitahidi kuwatomba vizuri wake zetu, haiwezekani uwe na wivu wakati haumtombi mkeo akaridhika, unataka aishi ndani kwako kama binti wa kazi au mwanafunzi wa sekondari hadi lini wakati haumfikishi? Ndo maana ukitoka kidogo naye anatoka akatuliza mihemko nje. Najua tunavyokuwaga tunakomaa na mechi za kirafiki (michepuko) hadi wengine mnanunulia viagra au konyagi halafu fainali(wife) unacheza naye chini ya kiwango unategemea kombe litapatikana vipi hapo. Pole ndugu usipanic tekeleza hayo. Usiamini kama kweli kaibiwa maana si ana akili timamu!
 
Kumbe The Boss siyo mwanaume?? Embu nielezee, halafu umenifanya nini ati? Nimekusubiri wee but where!! Au umeanza unafiki na wewe!!!

Hahaha kwanza apo namaanisha kwamba huyu mleta mada unyemfananisha na The Boss

Afu tena muda ndo unakaribi ivo nakuja kwa nguvu zote umeniandalia nini? Unafiki siuwezi katu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kwanza apo namaanisha kwamba huyu mleta mada unyemfananisha na The Boss

Afu tena muda ndo unakaribi ivo nakuja kwa nguvu zote umeniandalia nini? Unafiki siuwezi katu

Vitu vizuri vyoooooteee,loh! Nisije pigwa humu maana ulivyo super star si mchezo!!
 
Last edited by a moderator:
Pole mdau labda kadatishwa na muhogo wa jang'ombe, wewe ulikuwa unapapasa tu.Upele umepata mkunaji
 
aah wanawake wengine kama wamelogwa vild mi alikwapua mil 2.5 akasepa nazo baada ya miezi 2,anaomba msamaha arudi,nikaona sio neno,toka arusha hadi mby amekula lak 2.na mwishowe napata taarifa ni barmaid kule ifakara.hawa wanawake cjui wataka nn hasa
 
Back
Top Bottom