hapana wife kabisa tena minampendaga
Nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri.
Jamani nifanyaje mwenzenu mana sasahivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.
Ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani.

nami naibiwa mme wangu