Nimeibiwa mke na tajiri yangu nifanyeje?

Kajiiba huyo. Tafuta mnyonge na wewe ummegee (source: mwana fa)
 
Uzembe wako ndo umesababisha,juta tu
 
Wakuu,

Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya.

Asanteni.
Sikiliza wimbo wa 'Bosi' wa Ferooz akiwashirikisha Juma Nature na Solo Thang halafu uamue la kufanya.Kila la kheri!
 
Wakuu wiseboy na Petro E. Mselewa.

Naona Comment zenu zinafanana uzuri zimepostwa muda huo huo otherwise tungesuspect kuwa ni mtu mmoja...Bahati mbaya wengine hatuujui huo wimbo...Tuwekeeni humu ili tuelimike kwa pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Kaongee na wazazi wake au wazee wa karibu muweke kikao.mtapata tu ufumbuzi,pole sana.
 
Mshukuru Mungu kwa hilo, yeye anajua kwa nini hilo limetokea. MUNGU ndiyo kila kitu. Ameni.
 
Nawe fanya mpango wa kumpata mke bosi ummege ili nawe upunguze machungu
 
mi naona nikawaeeke dawa ya kugandiana au nyie mnaonaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…