Nimeibiwa LED TV, naweza kuifunga isitumike?

Nimeibiwa LED TV, naweza kuifunga isitumike?

Kama uliweka password itawapa tabu kuwasha labda kama haukufanya hivyo
 
mkuu mwezi wa nne mwaka huu waliniibia tv,simu,laptop za ofisi,taa za gari,power window
hasara ya karibia million saba sasa si ndio kutudishana nyuma ,ukisikia mwizi anapigwa mahala popote mimi nitafadhili petrol ya kumchoma
Mwaka mmoja au zaidi uliopita niliibiwa led tv,dvd player,laptop mbili, vikorokoro kibao vya thamani jumla 8+m. Bahati nzuri nilikuwa nimepanga 'serviced apartment' landlord alilipa full amount na apology kwa tukio. Basically ilikuwa mchongo wa walinzi kwasababu waliiba wakati nimesafiri na ulinzi ni 24/7. Ila ilichukua muda na ilibidi ninunnue vingine baadae ndio nikalipwa hio hela.
 
Habari zenu wakuu,

Wezi wote walaaniwe.
Nimeeibiwa LED TV leo wadau, kuna jinsi ya kuifunga?

Natanguliza shukrani.
Tuambie umeibiwaje ili tujifunze. Halafu nawashauri mlipe household insurance kwa ajili ya vitu kama hivyo, tena umenikumbusha nikalipie maanake kuibiwa kunarudisha nyuma sana.
 
kama na wewe ni mwizi umeshajilaani, (uwe umeiba chochote)

Issue ya kufunga TV yako haiwezekani kwa hauna connection yoyote, lakini pia Tv yako siyo smart Tv, labda ungeweza kuiwekea mfumo wa kuitrack, so katika ulimwengu wa kidigitali suala lako haliwezekani, labda katika ulimwengu wa kiroho
 
mkuu mwezi wa nne mwaka huu waliniibia tv,simu,laptop za ofisi,taa za gari,power window
hasara ya karibia million saba sasa si ndio kutudishana nyuma ,ukisikia mwizi anapigwa mahala popote mimi nitafadhili petrol ya kumchoma
Mkuu wewe ofisn kwako hujawahi kupiga deal?
 
Pole sana mkuu,mimi yalishanikuta hayo najua jinsi inavyoumiza.
 
Tuambie umeibiwaje ili tujifunze. Halafu nawashauri mlipe household insurance kwa ajili ya vitu kama hivyo, tena umenikumbusha nikalipie maanake kuibiwa kunarudisha nyuma sana.
Nyumba ninayoishi n kubwa so nyt wakatumia hiyo chance kwamba bedroom had seating room kuna umbali so usiku wamekata nondo na mm nmelala coz nilichelewa kulala hivyo kwa muda hule nilikua nmelala fofofo wakaingia wakaiba TV na remote yake
 
Hivi suluhisho ya huu wizi wa kukata nondo ni nini?
 
Back
Top Bottom