saneneto
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 255
- 491
Anayekuambia mzembe hayajamkuta huyoUzembe wangu n nn?
Anayekuambia mzembe hayajamkuta huyoUzembe wangu n nn?
Ndio..NAKAZIA HAPAmkuu mwezi wa nne mwaka huu waliniibia tv,simu,laptop za ofisi,taa za gari,power window
hasara ya karibia million saba sasa si ndio kutudishana nyuma ,ukisikia mwizi anapigwa mahala popote mimi nitafadhili petrol ya kumchoma