Nilipigwa elf 3 airtel money, asubuh subuh nilikodi tax elf 10 mpk moroco nikapewa elf tatu yangu, kumi ya nauli na tano ya usumbufuuu,
sio km ninanjaa sana ila haki yangu haipoteag kirahsi na ningeacha wangeleta mazoea, na sitak mazoea na nntoto ya ntu