chambalo kafao
Senior Member
- Feb 8, 2014
- 193
- 209
Ebu Fanya ulivyoelekezwa hapaTafuta humu kuna sehemu ya Vodacom watakujibu haraka halafu sio kusubiri tu nenda ofisi zao zilizopo eneo ulipo ili ikafanyie kazi na w/kazi utakaowatambua ili kama una malalamiko unakuwa unawajua watu kwa majina na sura. Pia unaweza kupeleka malalamiko yako polisi au TCRA
Nashukuru sana.Tafuta humu kuna sehemu ya Vodacom watakujibu haraka halafu sio kusubiri tu nenda ofisi zao zilizopo eneo ulipo ili ikafanyie kazi na w/kazi utakaowatambua ili kama una malalamiko unakuwa unawajua watu kwa majina na sura. Pia unaweza kupeleka malalamiko yako polisi au TCRA
Nenda haraka maana muda unavyoenda wahalifu nao wanakuwa kwenye advantageNashukuru sana.
Naenda ofisi zao za Morogoro Mjini.
Nawashukuru wote kwa msaada.
Humu ndani Vodacom sijawapata bado.
Simu unayo wewe ,hela inatokaje bila wewe kuitoa?Ndugu wana jamvi.
Jana saa mbili usiku nimeibiwa shilingi laki mbili na elfu arobaini na tano kwenye namba yangu ya vodacom yenye Mpesa. Fedha zimetolewa kwa wakala, na ujumbe nikaletewa kuwa nimepokea fedha taslimu toka kwa wakala huyo.
Ushahidi huu hapa.
6ES62D6M74W Imethibitishwa tarehe 28/5/19 saa 10:17 PM Pokea kiasi cha Tsh240,000.00 kutoka kwa 430185 - MWANAHAMISI RAJABU ISSA kwa ada ya Tsh5,000.00. Salio lako jipya la M-Pesa ni Tsh675.00.
Cha ajabu ni kuwa muda huo, mimi nilikuwa na simu yangu na sikufanya muamala huu.
Mara moja niliwapigia huduma kwa mteja Mpesa Vodacom ambao wamesema nisubiri masaa 72.
Swali kwa wataalam.
1.Ni nini hasa kimefanyika hadi namba yangu ikatoa fedha nipopajua ilihali simu yangu ninayo?
2. Je nitaweza kupata fedha zangu hizi?
3. Je niendelee kutumia namba hii au niachane nayo?
Nawasilisha.
Elezea vizuri inakuaje?Na voda hawajui ili suala?Kuna mtu anaejua namba yako ya siri aliweka line yako kwa simu yake akadownload Mpesa app
Uliza swali sehemu ambayo hujaelewa maana naamini hayo maelezo yamekamilika. Wanalijua ndio maana siku zote tunasisitizwa kutunza namba zetu za siri, watakuwa labda wanalitafutia mwarobainiElezea vizuri inakuaje?Na voda hawajui ili suala?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu simu ilijibonyeza menu, ikachagua toa pesa, ikajiingiza namba ya wakala na ya siri na ikathibitisha? Itakuwa simu ya maajabulabla simu ilijibonyeza
watu watakua wanalizwa sana kwa hii mpesa app, sio salama kama mtu mwingine anaweza kuitumia kutoa pesa kwa namba ya mtu. Waifanyie marekebisho kwa usalama wa fedha za watuEmbu chunguza watu wako wa karibu, kuna mtu kakupiga kwa mpesa app.
Hawa hapa Vodacom TanzaniaNashukuru sana.
Naenda ofisi zao za Morogoro Mjini.
Nawashukuru wote kwa msaada.
Humu ndani Vodacom sijawapata bado.
hawa hata hawako active kujibu maswali, bora aende ofisini tuHawa hapa Vodacom Tanzania