Unatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Kweli baby..mwambie ukweli.Subiri pesa ikiwa laini ndo utafute papuchi mkuu
Yan hadi najishtukia, ndo outing yangu Leo mkuuUpo kila mahali muone [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]siku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..
Yan hadi najishtukia, ndo outing yangu Leo mkuu
Nyie ndio watu mnaokula raha za ajabu.Unatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Bora tu umwambie uyu aseee khaaa..Unatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Thank youHaya enjoy
Unahonga elfu 25 unalalamika .Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.