Nimehitimu certificate of nursing mwaka huu, mwaka kesho nitaruhusiwa kusoma diploma?

benjamini org

Member
Nov 1, 2016
41
6
Naombeni Msaada wakuu nina maswali mawili naombeni aliye na uelewa anisaidie

1. Kama nimehitimu mwaka huu Nursing certificate nahitaji kuendelea kusoma mwaka kesho diploma jee inakubalikaa??? Au hadi ufanye kazi serikalini kwanza.

2. Kama nimehitimu nursing certificate mwaka huu nahitaji kubadili course nisome Clinical officer mwaka kesho ninaruhusiwa ku change au inakuwaaje???
:) :) :) Naombeni majibu wapendwa....
 
Naombeni Msaada wakuu ninamaswali mawili naombeni aliyenauelewa anisaidie
1. Kama nmehitimu mwaka huu Nursing certificate nahitaji kuendelea kusoma mwaka kesho diploma jeee Inakubarikaa??? Au hadi ufanye kazi serikalini kwanza
2. Kama nmehitimu nursing certificate mwaka huu nahitaji kubadili course nisome Clinical officer mwaka kesho Ninaruhusiwa ku change au inakuwaaje???
:) :) :) Naombeni majibu wapendwa....
Namba moja unakwenda bila kufanya kazi.
Namba mbili, hutatumia certificate kwenda clinical officer, maana qualification za clinical officer kwa certificate hujazitimiza, labda kama ungelikuwa na certificate in clinical medicine.
Ngoja waje wengne wajazilie
 
Thanx
 
Naombeni Msaada wakuu nina maswali mawili naombeni aliye na uelewa anisaidie

1. Kama nimehitimu mwaka huu Nursing certificate nahitaji kuendelea kusoma mwaka kesho diploma jee inakubalikaa??? Au hadi ufanye kazi serikalini kwanza.

2. Kama nimehitimu nursing certificate mwaka huu nahitaji kubadili course nisome Clinical officer mwaka kesho ninaruhusiwa ku change au inakuwaaje???
:) :) :) Naombeni majibu wapendwa....
 
Watu wengine wanasema kuunga jamani kutoka certificate ya nursing kwenda diploma je inakubarikaa??
2. Kuchange course kutoka certificate burning kwenda Clinical assistance/Officer inakubalika naombeni majibu yenuu wakuuu ntashukurusana
 
Hapo ni nursing typing error
 
Hivi wakuu kuna uwezekano wa mimi kuondelea kusoma diploma ya nursing ingawa nimechaguliwa certificate ya nursing mwaka huu na nina qualifications za kusoma diploma kama walivyosema kwenye guldebook kuwa lazima awe na C ya chemistry na biology na D ya physics na english ila nimechaguliwa certificate kutokana na competition na hicho chuo nilichochaguliwa kinatoa cert na diploma hapo kama kuna uwezekano nishaurini cha kufanya juu ya hili
 
Hapo haitawezekana mpaka uapply upya maana ulishachaguliwa au ngoja waje wengine wana uzoefu zaidi yangu.
 
Sawa mkuu
Vp iyo certificate ulichaguliwa round ya kwanza au ya pili? ? Maana na mimi nina vigezo kama vya kwako sikupata diploma kwahiyo nimerudia kuomba upya certificate. Vipi second selection tayari au bdo,???
 
Nooo ya kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom