Nimeharibiwa ndoa na ndugu yangu!!

freetown yaewezekana anatudanganya eeehhhh mmh kama ni uongo atakkuwa mwanafunzi wa mlimani huyu anafanya research ya ndoa aka submit kwa dk
 
Unatafuta ushauri ili iwe nini? Mkeo kakuambia kwa vitendo kuwa yeye hakustahili kuolewa na wewe, achana nae, oa mke mwingine bwana, kuoa kanisani ndio nini? unadhalilisha wanaume wote duniani:dance::dance:
 
Wasiwasi wako tu jombaaa. Wanawake ni waaminifu na wavumilivu mno. Huwaga hawacheat wao. Kwa hiyo tuliza moyo wako kwani huyo mkeo hajatoka nje ya ndoa yenu.
 
Ndoa ni ya kanisani lakini kama una ukweli kuwa alikuwa anachakachuliwa na miradi yenu imezorota, basi huyo hakufai. Haiwezekani ukakufanyia hayo mambo wakati anajua dunia imeoza kwa magojwa. Achana nae tafuta ustaarabu mwingine. Mwisho wenu utaishia kaburini. Kikwetu yakishatokea haya mambo hatuangalii tena ndoa kama ni ya kanisani, kiislam wala kimila
 
mengi yamekukututa sidhani hapo kama maana ya ndoa bado ipo tena,kwani alishindwa timiza wajibu wake, huo ni mzigo inabidi uutue kwa hali yoyote
 
Miaka miwili safarini.Ushauri wangu ni hivi kama wewe ulikuwa mwaminifu kwa miaka yote miwili haujawai kuisaliti ndoa yake mwache mkeo lakini kama uliwah kutoka hata cku moja ucmwanche mkeo jipange nendeni kituo cha afya mkacheki afya kama mko fresh anzeni upya na msahau yote yaliyopita mgange yajao
 
kwa akili zako ulikuwa humfahamu mkeo baba??????????????anghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Jamani hebu tulitumie hili jukwaa kwa manufaa ya wanachama. Mtu mpaka anapost hapa, ujue ni tatizo na kweli yupo desperate anahitaji ushauri. Sasa mtu unapomjibu namna hii, husaidii sanasana unamuongezea frustrations tu. Kumbuka ndugu yangu, usimcheke mwenzako anapopata tatizo, matatizo haya wameumbiwa watu iko siku utajikuta nawewe katika situation za namna hii. Take care Madam/sir.
 
Wajemeni asanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo Ni kweli yamenifika na sasa ninajipanga kusuka au kunyoa,Mchango wenu wa mawazo ni wa thamani sana kuliko mnavyodhania.Kwani nyie wana Forum ndo wa kwanza kuwashirikisha mkasa wangu huu. Mungu jalia shule niliyoiendea nayo nimefaulu- Ni imani yangu kwa sala zenu nitayashinda na maisha yatasonga mbele.
 
freetown yaewezekana anatudanganya eeehhhh mmh kama ni uongo atakkuwa mwanafunzi wa mlimani huyu anafanya research ya ndoa aka submit kwa dk

yani umenichekeeesha we mtu sijawah kucheka asubuhi km hivi! Ulilochangia yawezekana ni kweli!!! Ahaaaaaahaaahaaaa
 
Mlaumu mkeo ndugu yangu angekuwa anakupenda ni kwa dhiki na Faraja. Hakufai huyo
Mwenziyo anaomba msaada wewe unamwambia amlaum mkewe au aujaoa??kulaumu aisaidii nikumpa ushauri jinsi yakumali hili tatizo,Anyway Mimi nakushauri kaa namkeo myaongee muyaweke sawa ndoa nikuvumiliana! Hivyo msamehe leeni watoto wenu hakuna wakulea kama mama!Nazaidi mwambie huyo jamaa yako kwamba kitendo ulichokifanya sikizuri mwonyeshe kwamba kimekukera the maximum namwambie mimi nimekusamehe ila nimevunja ujamaa na wewe!Ila nakuonya achana na mke wangu basi.Wao wote watakuwa wametia akili.
 
Ndio kusema mtu andelee kuishi na Malaya eti sababu ndoa ya kanisani. Potelea mbali tutajuana huko huko makaburini
 
maelezo yake yakoje.? yapime kisha angalia ukweli lkn ktk wanawake kumi labda ni mmoja anaweza kuwa sawa. hivi ni kweli na wewe ktk hiyo miaka 2 huko hukuwa na mtu.? ilikuwaje ukarudi mikono mitupu.......? biashara kuna kupata na kukosa je kama ilimuendea vibaya amekupa maelezo? pima penzi lako kwake angalia hatima ya watoto wenu, afya zenu baada ya kupima ushauli wa wazee wenu (kama wapo), ndani ya nafsi yako angalia nawe ulichomfanyia, PIMA YOOTE KWA UANGALIFU SAMEHE IKIWEZEKANA,
 
HII NI STORY YA KUSIKITISHA SANA
Lakini hapo tunapata shule moja... maandalizi ya ninyi kutafuta hayakua kwenye same page na pia ule umuhimu wa kuwa pamoja wakati wote ni lazima uwe kipaumbele
 
Ndio kusema mtu andelee kuishi na Malaya eti sababu ndoa ya kanisani. Potelea mbali tutajuana huko huko makaburini
well said

sisi huwa hatupendi ukweli....

kufuga ugonjwa ni tatizo kubwa sana
 
pole sana.there is always a way forward.dont give up.mungu alituumba na utashi.so wa kuamua ni wewe.kaa chini,fikiri then amua kwa usahihi.hata mungu mwenyewe ataheshimu maamuzi yako.all te best.
 
hapo badili dini. Ingia katika dini inayofuata sheria alizoleta Mungu na si dini ya sheria zilizotungwa na watu. otherwise hapo huna cha kufanya mpaka ima afe au ufe wewe ndio biashara zingine zitaendelea. vinginevyo ukioa na bado umeshikilia sheria za watu

Wewe ni nani ku judge dini za watu? Get to the point acha udi.....!!!!!!
 
'Take it easy' miaka miwili ni mingi hata wewe lazima ulionja sehemu walau siku moja. halafu nahisi ulikuwa humtumiii hela pia ni tatizo jingine. Ila pia shukuru alikuwa anazunguka hapo hapo home kuliko angeenda kwa linjemba.
Cha msingi kabisa kubaliana na hali na mkae mkubaliane kuanza moja na ,kusahau yaliyopita naamini atakuwa kajifunza kitu nawewe pia umejifunza kitu, hivyo mnaweza kuwa na maisha mazuri sana yenye Upendo wa dhati
 
Back
Top Bottom