Nimehamia Tumaini Iringa, usajili mwisho lini?

Nimehamia Tumaini Iringa, usajili mwisho lini?

Joined
Oct 20, 2015
Posts
26
Reaction score
1
Nimefanikiwa Kupewa Transfer Kutoka N.I.T Kwenda Tumaini Iringa Vipi Walioripoti Hapo Chuoni Usajili Mwsho Lini?
 
Mdogo wangu nakuonea huruma sana umeenda chuo cha biashara icho unaweza kumaliza mwaka wa Tatu ukashangaa wanakuambia repeat course kwenye samis yako ilimradi tu uendelee kuchangaia pesa ya kulipa lecture wao,pole sana.
 
Back
Top Bottom