Nimehamia CCM kadi yangu namba 62011108

nilianzia siasa chadema, ccm sitoki tena. Karibu na wewe kaka
wewe nduka origino: Huna tofauti na political prostitutes wenzako kama mrema, kabourou, nk. Uamuzi uliufanya mwenyewe. Sasa unataka ushauri wenzako wakufuate ama wafanye nini? Baki huko huko. By the way ulikuwa na impact yeyote kwenye cdm? Kwanini unatujulisha? Mbona kuna wengi wameondoka wenye impact lakini cdm ipo? Haya si umeshahama, sasa kimbilia pale lumumba wakakupe mkate wako wa kila siku ambao ulikuwa unaumisi. Tukupatie namba za wenzio ili muwasiliane nao? Mtafute ze marcopolo, ritz, molemo, mbofu, m 23 na naona pasco naye anakaribia huko. Njoo dodoma ukishindwa kwenda lumumba ili upewe japo za kupitishia siku maana wapo hapa wote hata wale wazee wa meno ya tembo. Kama vipi njoo hapa mwanga bar jioni nikupe japo mbili tatu kama umeishiwa sana
 
Nimeona CHADEMA uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu Lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku

malayA ukitoka hapo nenda ppt. maendeleo.....
 
Nimeona CHADEMA uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu Lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku
Mkuu wewe mjanja, inapendeza sana mtu anapofahamu ukweli na kuamua kubadilika
 
wewe nduka origino: Huna tofauti na political prostitutes wenzako kama mrema, kabourou, nk. Uamuzi uliufanya mwenyewe. Sasa unataka ushauri wenzako wakufuate ama wafanye nini? Baki huko huko. By the way ulikuwa na impact yeyote kwenye cdm? Kwanini unatujulisha? Mbona kuna wengi wameondoka wenye impact lakini cdm ipo? Haya si umeshahama, sasa kimbilia pale lumumba wakakupe mkate wako wa kila siku ambao ulikuwa unaumisi. Tukupatie namba za wenzio ili muwasiliane nao? Mtafute ze marcopolo, ritz, molemo, mbofu, m 23 na naona pasco naye anakaribia huko. Njoo dodoma ukishindwa kwenda lumumba ili upewe japo za kupitishia siku maana wapo hapa wote hata wale wazee wa meno ya tembo. Kama vipi njoo hapa mwanga bar jioni nikupe japo mbili tatu kama umeishiwa sana
Mkuu PRINTABLUE naomba ufute kauli yako hapo juu kuhusu Molemo
 
Last edited by a moderator:
Nimeona CHADEMA uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu Lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku

Wenzio tulishajua hayo mapema kwamba wale jamaa ni wajasiriamali wa kisiasa mda mrefuuu na ni wabaguzi sana wa kikabila kama sio mamuya au saa nane chadema huna chako.
Hongera kwa kutoka utumwani karibu nyumbani.
Tupia basi jina lako kamili mkuu.
 
njaa za msimu zinakusumbua haswaa utarudi tu kwani huku ni the place to be kila mwenye upeo anapakimbilia pole sana kwa kutanga tanga RIP CCM.

Vipi yule aliyeamua kuhamia chadema kule karatu baada ya kupigwa chini kura za maoni.yule ndio alikuwa na njaa maana alihama baada yakuona ccm wamemkosesha ulaji wake Dodoma.
 
Wenzio tulishajua hayo mapema kwamba wale jamaa ni wajasiriamali wa kisiasa mda mrefuuu na ni wabaguzi sana wa kikabila kama sio mamuya au saa nane chadema huna chako.
Hongera kwa kutoka utumwani karibu nyumbani.
Tupia basi jina lako kamili mkuu.

kwa una shauri twende chama gani ambapo sio wabaguzi wa kikabila? Halafu wewe na Ben Saanane na Exaud Mamuya nani alikuwa ana cheo kikubwa huko ulipotoka?

Halafu kwa maana nyingine hebu tuambie kabila gani linatakiwa huko ulipotoka

we ni wa sehemu gani? Unaonaje tukiigawana hii nchi kila mtu a base kwenye sehemu yake?, yaani tuigawanye gawanye mpaka yani tupate kila sehemu tupate watu wanaofanana kwa vigezo na tabia?
 
tusiruhusu akili ndogo iongoze akili kubwa by mch.peter msigwa
nimeona chadema uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku
 
Wenzio tulishajua hayo mapema kwamba wale jamaa ni wajasiriamali wa kisiasa mda mrefuuu na ni wabaguzi sana wa kikabila kama sio mamuya au saa nane chadema huna chako.
Hongera kwa kutoka utumwani karibu nyumbani.
Tupia basi jina lako kamili mkuu.
Hahahaaaaa Shonza we noma kw kw kw kw kw ushamtamani na huyu unataka jina lake.,kweli we janga la taifa..
 
Back
Top Bottom