Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers
sio lazima kila mtu aanzishe thread
utafiti hebu njoo umuone ndugu yake na SAYANSIKIMU....
utafiti hebu njoo umuone ndugu yake na SAYANSIKIMU....
miss Nerdy unaishi Tarime Mara?hahahahaha inawesekana ni one id
miss Nerdy unaishi Tarime Mara?