Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,286
Hiyo haisaidii sana bado.Sasa mkuu kabla ya kuingia shamba inakupasa ufanye research za masoko almost yote na nje ya mkoa.
Kabla ya kuingia shamba kuna vitu unapaswa kuvichunguza kwanza kama soko, ardhi, maji, usalama n.k ni somo refu linalohiaji uzi wake special
Bidhaa za kilimo kwa asili bei zake ni too elastic.
Kupata tija kwenye kilimo ni kulima kwa mkataba au kusindika au niseme kuongezea thamani mazao/bidhaa za kilimo.
Lakini pia kilimo kinahitaji muda ku scale.
Trust me kama hutopata mtu mzoefu na kuwa tayari kusubiri mafanikio kwa muda mrefu (which is hard for many people) unaweza give up.
Sifahamu kila kitu. Ni vile uzoefu wangu kwa niliyoyaona kwenye kilimo cha kitanzania (pia kumbuka siasa zinaathiri kilimo. And you can't do nothing to change this)
Mwisho niseme tu, go right ahead.
I have my opinion but can't tell people what to think.