kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,809
Si bure nimegundua mungu ameshanitegea mgongo!!
Ni shabiki mkubwa wa UKAWA dkk za majeruhi tumekatwa!!
Naishabikia Arsenal nayo tumekatwa!!
Ni mpenzi wa Real Madrid FC nayo tumekatwa pia namzimia Maalimu Seifu naye kakatwa na Jecha huko Zanzibar😕😕