Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
Acha Kumchunguza utamkosa
 
Kaprint stationery, nunua na bahasha nyeupe uiweke humo. Andika anuani ya kazini kwao, then weka kwenye gari yake, bag lake la kazi au mfukoni. Then kaa kimya kwa kutulia endelea na mishe mishe zako za no reforms no election.
Bonge la akili, nunua Pepsi alafu mwenyewe utalipia
 
Kaprint stationery, nunua na bahasha nyeupe uiweke humo. Andika anuani ya kazini kwao, then weka kwenye gari yake, bag lake la kazi au mfukoni. Then kaa kimya kwa kutulia endelea na mishe mishe zako za no reforms no election.
Hiyo ukinifanyia Mimi nayatoa Kisha natulia kimya kama sijafanya nakuwa kawaida tu
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
Acha kuletea watu kahawa, wewe si uliwahi kupost hapa kuwa cancer ya matiti inamumaliza mkeo? Iweje tena leo una mme anayekuchit? Muogope sana Mungu na Technolijia.
 
Hapo ndani shemeji kuna mwichi wa kinu ?
Kama upo chukua ponda bichwa la huyo shetani mjaa laana haiwezekani wakimbie kwenye vikao alafu aje kutudhalilisha na halina habari lipo linakoroma tu ,toto la mama mkweo
 
Jamaa humpagi au ? Ukisoma hio convo kama una D2 utagundua jamaa amejaa upwiru, anawaza kipochi manyoya tu ,,,kavurugwa
 
TANGAZO: Wanaume wote wenye mpango kando, tafadhali futeni meseji za wanawake wa nje ya ndoa kabla hamjarudi nyumbani ili kuepusha migogoro ya ndoa.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
chemsha mafuta ya moto yachemka haswa hapo alipolala mmwagie hawezi kuchepuka kizembezembe hivi
 
Kabla hujamlaumu ,anafahamu akaunti Yako hapa JF ,kama hapana Anza wewe kujisahihisha
 
Njoo kwangu tulipize (Tulevel ubao) japo katutangulia 4-0 ila mi mzuri kupiga come back.
 
Back
Top Bottom