Demu ana hamu hadi anavibrateAmshauri mumewe next time adate na mwanamke anayejua kuandika vizuri
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
Wewe unambania nyapu acha atafute amani ya moyo njeNi mme wangu kabisa, nifanye Nini?
Ndoa ni yako na mumeo,na binadamu hakuna mkamilifu,kwanza nyamaza,tuliza hasira na mihemko,tafuta siku umtoe out,uwe mtu mwenye furaha na amani,ndipo uongee nae juu ya suala hili,usimuendee kwa hasira utapoteza kila kituMwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Rin !!!Ww ni ke au me?
Kingine R na L zimetukosea nini watanzaniaa?
Yan huwa mwanamke akitishia hivyo au et tuachane ndio safari na mziki hivyo😁Inaonekana huyo mwanaume wala hapo hapendi, mtu unayempenda huwezi kumtishia “Nitaondoka” 😹😹