Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 348
Wake zetu naomba tu mjue sisi sio waaminifu kabisa
Na wewe nipe mimi ili tumkomoe.Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682
Rin "Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu
Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
View attachment 3312682