Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,401
Hatimaye baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu ,nimekuja kugundua kuwa kioo hakioneshi picha halisi ya mtu
Nimekuja kugundua hivi kwa sababu kuna vioo nikienda kujiangalia najiona bonge la handsome lakini kuna vingine nikijiangalia mpaka najiogopa kwa kweli