Nimegundua haya

uongo na vitisho hizo story zahovyo tu.! yesu alikua mtu wa taifa gani.? kwani hakuna naabii mswahili kwenye hivyo vitabu vyadini.? kwanin manabii wote watoke eneo moja tu.?
 
avatar yako tu inakuonyesha wewe ni ibilishi mjaaa laana. kama ni mwanadamu Mungu akurehemu, ila kama ni lishetani lenyewe limevaa mwili wa mwanadamu, ushindwe kwa Jina la Yesu Kristo.
 
😂 aya mtumishi. embu nena kwa lugha nisikie utapeli wenu
 
Itakuwa umepata hasara kwa kuabudu kitu kisichokuwepo maisha yako yote kujinyima mengi kwa hofu ya uwepo wa mungu kumbe hakuna kitu hilo ni bonge la hasara
 
Hakuna kifo duniani we are infinite entities,mwili ndo unakufa sisi tunabaki we are beings without form tunabadilisha tu mazingira leo tupo frequency ya wasafi miili ikifa tunahamia clouds very simple
 
pole sana, kipofu aliye kiziwi. Mungu akufumbue macho pengine utaipona ile hukumu ya jehanum iliyo karibu kuujia ulimwengu wote.
 
Aloo nimecheka sana 🤣🤣🤣
 
Kuna baadhi ya vitu unatakiwa utoe PROOF, nje ya hapo vitabaki kuwa imani tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…