Nimegundua haya

Unataka maarifa yanayopaswa kuelezwa na maiti?yaani mambo inabidi aje leo hapa babu wa babu yako aliyekufa 50s huko akueleze unategemea uelezwe na mtu mpo hapa mna-share pumzi moja?

Dude,you must be kidding!
Shida ya jf ujuaji ni mwingi jmn !. Mwenzako kaeleza kuw mwili huw una expire halaf wew as a spiritual being ndo unahamia kwa mwili mpya (vichanga) kwa mantiki hyo bc, mwandishi wa vitabu hawez kuw maiti instead, ni roho zenye experienc ya hlo jambo ambazo kwa mujibu wa maelezo yake zipo !. Wew ni chadema bro ? Sorry bt
 
Sio kama nakupinga nabii, ila hata wewe huoni kama huo mpepe uliopuliza bila kupiga msosi unakupeleka resi?
 
Mleta mada...
Hukuwai kukaa ukafikiriaaa...!
Kuhusu huu ulimwengu,
Kuna time nikiwaza na kuwazua naona mambo yote nikumbukumbu tu hakuna uhalisia , hakuna binadam hakuna chochote ni mtiririko tu wa kumbukumb na time ikifika kumbukumb yako hufik mwisho,na mwisho wakumbukub zako sio mwisho wakumbukumbu zingine...
Ni mtazamo
🏃🏃🚶
 
Time haiko linear kili kitu kilichowahi kutokea au kitakachotokea kinatokea saivi. Kwaiyo dunia saiz ina watu billion 8 ila wakati huohuo nimwaka 1800 na kuna watu millioni 1p00 ukiwa reincarnated unatokea sehemu yoyote kat8 ya hizo moda
Population imekuwa ikiongezeka na sio kupungua kwahio kwa logic yako kuna sehemu population zinapungua ili kuja kujaza watu huku ?

Na hio unaona ni plausible kuliko the known fact kwamba we are all a bunch of cells, making organs to make systems to eventually make an organisms; kwamba the adaptation na role played na binadamu ikiamia kwa tapeworm (mnyoo tumboni) hizo organs nyingine hazina kazi... There is no point at all for such high level intelligent spirits (if they were to exist) to be such wasteful (Why!!!!)
 
the biggest secret

Osho-take it easy

The hidden history of africa

12 planets

children of the matrix

1984

And so so so
Bookworm tumefika mkuu shusha vitabu shusha shusha shusha vitabu

Kipindi Yesu alipokuja anawaambia watu kwamba jamani eeh tubuni na kuiamini injili watu walikua wakimpinga 'we msengerema unatuambia nini?' baada ya kufa wale wale waliompinga ndio walichukua alama ya msalaba na kufanya km symbol yao na kuanza kumtangaza Dunia nzima kua ndio mkombozi wao
 
Kama ni hivyo, ilikuwaje ukaita imani flani ni potofu wakati ukweli utajulikana mwishoni mwa safari?
(kulingana na matamshi yako hapa chini)

 
itakuwa wachache wetu kumbukumbu huwa hazifutwi zote baada ya kufa na kuzaliwa tena!
 
Yeap
 
itakuwa wachache wetu kumbukumbu huwa hazifutwi zote baada ya kufa na kuzaliwa tena!
Exactly wapo wengi sana mfano... kuna mtu anakuelezea visiwa vya china huko kama nadharia na hajawahi kufika na anakuwa accurate na details za sehemu husika pasipo kunakili au kuambiwa na mtu yeyote


Wengine wanajua vitu bila kufundishwa ni kuwa anakumbuka nyuma ila ni siri yake japo hajui ni kwanini anafanya hivyo vitu kwa urahisi
 
Na ikitokea ukakuta Huyo Mungu unaemuamini kumbe ndie shetani hapo napo tusemeje
 
Yeah mimi nimewahi kushuhudia mkuu
 
Vitabu ulivyoviweka nimevisoma nisema tu walioandika hivi vitabu ni Machizi waliochangamka ukivisoma na wewe unachizika
 
Mkuu you are seriously mixing unrelated issue here, soul goes with spirituality while technology is purely scientific.

Second, why the so called advanced spiritual beings would trouble themselves endlessly erasing and reprogramming the dead human beings?? To what end??

What do they gain by doing so??!

You should stick to one line of reasoning instead of cooking up a concoction that you can not explain its recipes!
 
Truly speaking in tongues! 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…