Tuongee kwa logic katika premise ambayo umeiweka wewe mwenyewe..... Kama kulikuwa na spirits 10 tangia year zero; basi vehicles zinazohitajika tangia mwanzo mpaka kesho ni hizo 10 kama vehicles zinaongezeka inamaanisha na spirits zinaongezeka na kama zinaongezeka basi haiwezekani zote zilizokuwepo jana ziwepo leoVehicles kila siku zinaletwa toka mahospitalini zikiwa new,na spirits kila siku zinaacha vehicles zinarudi amnesia camp na kurudi kwenye circle again.
Does not matter kama hio number tangia mwanzo sio infinity basi isingekuwa inaongezeka exponentially; Mimi ninapomba kuku mayai 10 na sio matano ili aatamie ni mimi ndio ninadetermine population ya kuku wangu bandani; na uzembe wangu wa kutokuwapa chakula na kutokuwapa chanjo ndio kuta-determine kesho takuwa na kuku wangapi, na sio kwamba kuna spirit anasubiri kifaranga changu kitotolewa ili achukue mwiliUkiacha hizi center za amnesia ambazo zinateka roho na kufuta kumbukumbu na kuzirudisha kuvaa miili na kuanza moja,kuna sayari zingine zinakuja spirits zingine kuexperience ''what is it to be in body'' na zingine pia huletwa kama wafungwa waliokosea kwenye dimensions zao.
Like I said hata hadithi nzuri lazima iwe na logic (make sense) according to premise ulizojiwekea ila kama ina so many illogical flaws kama hii yako inakuwa haina maana (sababu hata kama hizo dimensions nyingine population inaongezeka exponentially where have all the vehicles been all these time ?) Au kuna pengine population ina-decrease exponentially ?Dunia ni dimension moja yapo kati ya nyingi ambazo pengine hatuzikumbuki maana tukuwa wiped memory.mf
Dunia ikiwa kwenye dimension ya 97.7fm jua kuna dimension ingine ipo katika 100.2fm zote zina spirits/lifeforms hazijuani ila zinabroadcast kwahiyo ukitaka kwenye station ingine lazime utoke kwenye station uliopo that how it works
Its true those spirits will strand but will never get out of this dimension because the earth is covered with this soul blockage mechanism technology created by high advanced spiritual beings which captures,wipes out your entire life moments keep them in subconscious and allows you to inhabit a new body again and again.unless you are awaken from this illusionOnce you die, mean you're lost away! but soul stay stranded at home place environment forever ever, that soul we call ghost!, or family ghost that always like to be remembered, and honoured!
Wewe huwezi kuwa Nzee ya Msitu wa Shakhahola kweli🤓😎Habari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Aliyekwambia wanaoamini re-incarnation hawaamini Mungu wala hukumu ni nani ? Kwanza huenda Imani hii ikawa ni ya zamani zaidi kuliko hata Imani yako wewe...; Au unataka Imani yako ndio iwe imani yao ?Hizi imani potofu za kuaminisha watu hakuna MUNGU wala hakuna hukumu baada ya kifo zinazidi kupamba moto.
Hii inaitwa Pascal's wager; The wise decision is to wager that God exists, since "If you gain, you gain all; if you lose, you lose nothing",Acha niiishi vema kwa kutenda mema, kama nikienda huko nisimkute Mungu sitapata hasara, ili nikimkuta wakati nilimkana huku duniani hakika itakuwa hatari.
Hao advanced spiritual beings wanafanya yote hayo kwa sababu wanataka my achieve kitu gani? What is their motive? Tuanzie hapo mkuuIts true those spirits will strand but will never get out of this dimension because the earth is covered with this soul blockage mechanism technology created by high advanced spiritual beings which captures,wipes out your entire life moments keep them in subconscious and allows you to inhabit a new body again and again.unless you are awaken from this illusion
Kabla ya yesu miaka ya nyuma kulikuwa na osiris ,kulikuwa na krishnaHizi imani potofu za kuaminisha watu hakuna MUNGU wala hakuna hukumu baada ya kifo zinazidi kupamba moto.
Acha niiishi vema kwa kutenda mema, kama nikienda huko nisimkute Mungu sitapata hasara, ili nikimkuta wakati nilimkana huku duniani hakika itakuwa hatari.
Unaelewa maana ya imani potofu?Hizi imani potofu za kuaminisha watu hakuna MUNGU wala hakuna hukumu baada ya kifo zinazidi kupamba moto.
Acha niiishi vema kwa kutenda mema, kama nikienda huko nisimkute Mungu sitapata hasara, ili nikimkuta wakati nilimkana huku duniani hakika itakuwa hatari.
Earth was a biological lab for spirits of certain dimensions to test how was it like to be in human body thats one.Tuongee kwa logic katika premise ambayo umeiweka wewe mwenyewe..... Kama kulikuwa na spirits 10 tangia year zero; basi vehicles zinazohitajika tangia mwanzo mpaka kesho ni hizo 10 kama vehicles zinaongezeka inamaanisha na spirits zinaongezeka na kama zinaongezeka basi haiwezekani zote zilizokuwepo jana ziwepo leo
Does not matter kama hio number tangia mwanzo sio infinity basi isingekuwa inaongezeka exponentially; Mimi ninapomba kuku mayai 10 na sio matano ili aatamie ni mimi ndio ninadetermine population ya kuku wangu bandani; na uzembe wangu wa kutokuwapa chakula na kutokuwapa chanjo ndio kuta-determine kesho takuwa na kuku wangapi, na sio kwamba kuna spirit anasubiri kifaranga changu kitotolewa ili achukue mwili
Like I said hata hadithi nzuri lazima iwe na logic (make sense) according to premise ulizojiwekea ila kama ina so many illogical flaws kama hii yako inakuwa haina maana (sababu hata kama hizo dimensions nyingine population inaongezeka exponentially where have all the vehicles been all these time ?) Au kuna pengine population ina-decrease exponentially ?
Kuna kiukweli na kauongo kiasi fulani ,jamaa inaonekana kasimuliwa au kusoma hajapata uzoefu wa haya yeye kama yeye.Baadhi ni ya Ukweli ila 9 sio kweli
Kuna facts hapo hapo kuna imaniHabari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Haujajibu swali langu la msingi unazidi kuleta hoja ambazo huenda zikaongeza maswali to infinity...; Swali langu la msingi ni kama Spirits have always existed na kinachofanyika ni kubadilisha tu vehicles (bodies) iweje hizo bodies zinaongezeka kuliko kabla sababu zingekuwa ni zile zile za kutosheleza spirits hakuna haja ya kuziongeza..., na kama watu wakikosa wanakuja kama wadudu basi makosa yamepungua sababu binadamu tunaongezeka...Earth was a biological lab for spirits of certain dimensions to test how was it like to be in human body thats one.
Two early humanbeings/spiritual came from other planet and invaded earth as a new habitat walikuwa wanauwezo wa mind kucommunication,kupotea/teleportation na walikuwa wakienda mwituni wanyama walikuwa loyal mmoja alikuwa anajitoa sadaka kwa mwanadamu na kutumika kama chakula na maisha yalikuwa simple as that ,wakaja extraterrestrials au viumbe vingine more advanced kuliko wao kiteknologia na kinguvu wakachukua zile ability zetu na kutuachia miungu yao ambao ilizaa na watu na kutengeneza wafalme na tawala ...
Tatu kuna dimensions zingine walitumia humans kama slaves kuwafanyisha kazi za uchimbaji and so na hao watu waliwaumba wenyewe ''tumemuumba mwanadamu kwa mfano wetu''wapo wengi
In general all lifeforms in different dimensions are all spiritualbeings of the same source known as the WHOLE/cosmic mirror na wanavyohama wanabadilika kutokana na mazingira ya hiyo dinension ,kama now tupo kwenye 3rd na wengine kwenye 4,5,6
Kweli mkuu.Kuna facts hapo hapo kuna imani
Wewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.Unaelewa maana ya imani potofu?
Fafanua zaidi hapo kuanzia Namba 10 kuja chiniKama nini
Kwahyo unataka kusema unachokiamini wewe ni sahihi hata kama ni cha uongo, na kile wanachoamini wengine ni potofu hata kama ni cha kweli?Wewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.
Habari za sijui unajua maana ya imani potofu hazihusiki hapa maana kila mtu anachoamini kwake mtu huyo ni sahihi na vile wanavyoamini wengine ni potofu.
Hebu fafanua vzr hiyo namba 7 na ulete ushahidiHabari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Linapokuja suala la imani, hakuna imani iliyo bora zaidi ya ile aaminiyo mwamini.Kabla ya yesu miaka ya nyuma kulikuwa na osiris ,kulikuwa na krishna
Hawa wote walizaliwa na mabikra,walifufua wafu,walikuwa na wafuasi kuminambili,walikufa wakiwa 33 na walifufuka siku ya 3 na kupaa na walisema watarudi kuhusu yesu huyo ni character kwenye kitabu kinachoitwa biblia ambayo ni kalenda ya new world order,kitabu cha kukujaza uwoga na ufate system,kitabu ambacho kinakufanya usihoji na usitumie akili yako sasa akili ni ya nini,hiki kitabu na vingine baadhi ya vitu ni kweli kama matukio mf.catalysm,fall of darkages na greatfloods na future illuminati plans mf.maroboti and so so
Mengi kwenye biblia yamenukuliwa kwenye''sumerian texts ambazo zinajumbe zote za maelfu na maelfu ya miaka nyuma,hawa levites wamechonoa huko baadhi ya scriptures na kumjulisha na miongozo na elinu zao za kuwafumba wanadamu na kusambaza
Mwarabu-Quran
Mwindi-veda
Mwafrika-ndo mwanzilishi wa mambo yote ila sasa hajui historia yake wala asili yake kiundani,hajui hata imani na historia yake ya kweli kadanganywa na kavamia dini ambazo hazimhusu