Ndio maana tukawa wengi mmoja akikushinda ujiongezee pengine
nakushauri tafuta a good woman akupooze....umeanza kuwa a philosopher now....
wanasema ukipata a good woman unakuwa happy ,ukipata a bad one unageuka a philosopher......
ndo maana nikasema akikushinda, siyo kwa sasa. hii fursa ni yako mamiiusinipeperushie fursa twafazaliii