Nimegundua haya kuhusu wanawake

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
2,001
Kitu kimoja ambacho nilikisoma sana kwenye internet comedy na post za wadau wa internet ni kuhusu uwezo mdogo wa kusamehe na kumove on kwa wanawake, ambacho nimeprove ni kweli kwa asilimia kubwa ya wanawake.
a) Kwanza wasichana wengi wasomi na wa kileo (style ya twende sawa) wameshaona ushosti na wanawake wenzao sio dili. Ukimuuliza (jibu: women are gossipy ). Wao wenyewe wanatambua kuwa ni kazi kumaintain uhusiano baina yao. Ndo maana sasa wasichana hao marafiki zao wengi wanaume.

b) Ukiwauliza wanawake marafiki zao wa muda mrefu ni wepi. Unakuta asilimia kubwa ni wanaume. Hao wanawake wenzao walishagombana zamanii sasa hivi wako na wapya tena.

C) Honestly speaking wanaume anaweza kuwa best friend wa mwanamke lakini haiwezekani mwanaume akawa na best friend wa kike ahead of washkaji zake. So mostly men ndo wanapambana kumaintain hayo mahusiano.

d) Huku kwenye mapenzi sasa, maendeleo ni shida. Uhusiano unaweza ukakumbwa na majanga ya ugomvi kila mkiwa pamoja ni vikao vya usuluhishi tu. Yani unaweza kuomba msamaha kila baada ya muda kwa kosa lile lile. Mpaka unashangaa.

e) Sababu za kuvunjika kwa mahusiano mengi ya kisasa hazina mashiko kabisa yani. Unaweza kusamehewa kosa la kuchepuka lakini kosa la kumsubirisha mtu likatishia hata ndoa kuvunjika (Honestly movie zimetuharibu sana)

Ukichukua muda kuchunguza mahusiano yako na wanawake utakuta tu hizi habari (wanaume). Wanawake kwa kweli kutokana na maendeleo ya teknolojia si vibaya mkatoa "User Manual" ili kuturahisishia matumizi
 
Honestly, weka picha
 
nakushauri tafuta a good woman akupooze....umeanza kuwa a philosopher now....

wanasema ukipata a good woman unakuwa happy ,ukipata a bad one unageuka a philosopher......

Hahaha mkuu the Boss kwenye hiyo ya being a philosopher ni kweli.
 
Mimi nipo kwaajili yake...nakushauri tafuta a good woman akupooze....umeanza kuwa a philosopher now....

wanasema ukipata a good woman unakuwa happy ,ukipata a bad one unageuka a philosopher......
 
Ndio maana tukawa wengi mmoja akikushinda ujiongezee pengine
 
nakushauri tafuta a good woman akupooze....umeanza kuwa a philosopher now....

wanasema ukipata a good woman unakuwa happy ,ukipata a bad one unageuka a philosopher......

wanasemaga kila shetani na mbuyu wake rafiki
 
Back
Top Bottom