Nimegandwa na mke wa mtu! Nifanyeje?

Nimegandwa na mke wa mtu! Nifanyeje?

Mkuu mambo ya mapenzi hayajalishi kichwa chako kikoje. Ni ujanja ujanja tu! Huonagi wale profs wa vyuo wanavyoendeshwa na wake zao ambao ni form four leavers?

kweli mkuu!!

ila sasa wewe ulizidi,

vipi ulimpa uja uzito?
 
kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia unahama/unabadilisha line bado anapata namba yako eleza vizuri au kuna mtu wa karibu nawe anampatia mawasiliano yako

Hata mimi nimejiuliza swali hilo nikakosa jibu...

Ila nyuma ya pazia either ni storii tuu au dogo alinogewa na mechi so hata akibadili namba anajikuta anamtafuta huyo mama mwenyewe...ndio maana hata akipewa ushauri wa kutafuta mwanamke mwingine hataki!..anaogopa kung'ang'aniwa...sasa sijui anataka kuishi vipi kijana huyu.
 
Huyu mwanamke nilisoma naye shule ya msingi ila alikuwa nyuma yangu. Alinifahamu vizuri kwani nilikuwa vizuri darasani ila mimi sikuzoeana naye. Nilikutana naye miaka mitatu iliyopita baada ya kuachana kwa miaka mingi. Yeye ameshaolewa na sasa hivi anafanya biashara na mumewe. Tulibadilishana mawasiliano kama watu tunaofahamiana lakini kilichotokea mpaka leo kinanisumbua. Alianza kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu mara nyingi. Kuna siku alikuja kwangu bila taarifa. Nilipotoka kwenda kuoga nikarudi na kumkuta chumbani kwangu uchi. Kama binadamu niliingiwa na kuzidiwa na tamaa nikazini naye. Toka hapo amekuwa akiniambia anataka azae na mimi ili apate mtoto atakayekuwa na akili kama nilivyokuwa mimi. Niliamua kukata mawasiliano naye na kuhama pale nilipopanga mwanzo bila mafanikio.Nikimblock anatafuta laini nyingine na kunipigia. Nimebadili line mara tatu bila mafanikio. Anadai kwa nini namtesa namna hiyo? Ushauri wenu ndugu zangu!

jimwagie maji ujigandue men..
 
amenogewa kuacha anashindwa vijana wengine wanapenda kulelewa wanakuja na hadithi ya kung'ang'aniwa
 
Yani wewe ushazini na mke wa mtu afu ndo unakuja kuomba ushauri hapa! Go to the hell!!
 
Mke wa mtu ni sumu huwa hatuonji sumu kijana! Dhambi inaua tubu dhambi nipo utajidisconnet naye
 
kabla sijasoma maoni ya wengine, naomba nikushauri ushauri mmoja wa kiufundi: bila shaka huyo mke wa mtu atakuwa amenogewa na dozi yako kunako 6 by 6. sasa cha kufanya, mpunguzie dozi utaona mwenyewe anasepa. acha kumpiga mipini ya maana mpaka unamvuruga akili mke wa mtu. shauri yako!
 
Hivi umeshatokwa na mjusi kwenye dushelele??? Chezea mke wa mtu
 
Mwambie amechelewa,siku hizi umekuwa kilaza. Asubiri matokeo ya Form 6 mvulana atakayeongoza ndio akazae nae.
 
kama upo mjini lipia kabisa sehemu ya kuzikwa kabisa usije ingiza watu gharama za kujitakia......
 
Inavyoonekana una maisha ambayo siyo stable! Kwanza unasema ulipotoka kuoga ukamkuta yupo chumbani kwako uchi; swali hapo: ni je una mke au bado ni senior bachelor? Na kama una mke alikuwa wapi wakati huo mnazini?

Kikubwa zaidi: unawezaje kubadili namba ya simu mara tatu? Hapo ndo naona wewe is mtu reliable. Kama una maisha yako stable huwezi kubadilibadili namba kirahisi kisa eti kumkwepa mwanamke anaekusumbua. Kweli naanza kuamini ya kwamba akili za darasani sio za mapenzi.
Huyu mwanamke nilisoma naye shule ya msingi ila alikuwa nyuma yangu. Alinifahamu vizuri kwani nilikuwa vizuri darasani ila mimi sikuzoeana naye. Nilikutana naye miaka mitatu iliyopita baada ya kuachana kwa miaka mingi. Yeye ameshaolewa na sasa hivi anafanya biashara na mumewe. Tulibadilishana mawasiliano kama watu tunaofahamiana lakini kilichotokea mpaka leo kinanisumbua. Alianza kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu mara nyingi. Kuna siku alikuja kwangu bila taarifa. Nilipotoka kwenda kuoga nikarudi na kumkuta chumbani kwangu uchi. Kama binadamu niliingiwa na kuzidiwa na tamaa nikazini naye. Toka hapo amekuwa akiniambia anataka azae na mimi ili apate mtoto atakayekuwa na akili kama nilivyokuwa mimi. Niliamua kukata mawasiliano naye na kuhama pale nilipopanga mwanzo bila mafanikio.Nikimblock anatafuta laini nyingine na kunipigia. Nimebadili line mara tatu bila mafanikio. Anadai kwa nini namtesa namna hiyo? Ushauri wenu ndugu zangu!
 
Tehee tehee ee umebadilisha laini x4 akawa anatafuta lain nyingine anakupigia,alikuwa anapataje namba yako mkuu?co kwamba ulinogewa ukampa?

Anawafahamu baadhi ya rafiki zangu na ndugu zangu. Huwa anawaomba
 
subiri mpaka siku unabanduliwa ndio utajua jinsi ya kumuacha
 
Changu huyo sio mke wa mtu, sio kila mwanamke anayeishi na mwanaume ni mke na mume, wengine ni partiners. Anatumia tittle kukuzuga, isingekuwa wewe angekuwa Kona baa. Chunguza pia unaweza kuta mko wengi kuliko unavyoweza dhania

Sio changu. Namfahamu hata mumewe na maeneo wanapofanyia kazi. Aliwahi nitambulisha kwa mumewe na kunionesha kazini pake kipindi cha mwanzo mwanzo kabla hajaanza fujo.
 
Back
Top Bottom