Nimegandwa na mke wa mtu! Nifanyeje?

dogo.... mkishagandana na huyo mama, mumewe atakuganda kwa nyuma!!!

Akili kichwani kwako....

mwanamke aliyeolewa na akataka kuzaa na wewe ni wa kumdharau sana, kwani hajui maana ya ndoa, familia wala nini maana ya mtoto... ni mtu ambaye anatreat watoto kama mapera tu, unapanda mbegu, yanaota unachuma

bad
 
Wake wa siku hizi,mwenyewe hadi simu zake sipokei maana kuna mke wa mtu mmoja ananisumbua sana. Pole ila usimgegede tena.
 
Dah kakae Dhambi ya uzinz haikemewi la inakimbiwa!kimbia huyo ni mke wa mtu,angalia usikute mmewe anakuandalia timing akubambe!we unadhan hajakariri tundu la mkewe?ama!
 
Do watever it takes uachane nae lasivyo mume wake akijua utakuwa na options tatu;
1)KULIWA KABAANG
2)KUCHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI
3)KURESTISHWA IN PEACE
 
Changanya miguu yako haraka sana! ...mke wa mtu sumu, hivi hamsikiagi?!
Hebu amuache mke wa mtu thumu mumewe asije choma nyumba kama wengine buree. Mnake style za siku hizi mara kuchoma nyumba au kupigwa na kitu chenye ncha kali .
 
hivi wewe kweli ulikuwa na akili darasani?

au unatuzuga?

sasa mbona akili zako zimeyeyuka?

mwenye akili kweli umeshindwa ujanja na huyo ambaye alikuwa simple mind?
 
Hebu amuache mke wa mtu thumu mumewe asije choma nyumba kama wengine buree. Mnake style za siku hizi mara kuchoma nyumba au kupigwa na kitu chenye ncha kali .

Acha tuu, mimi sijui huwa hawajifunzi kutoka kwa wengine hii inakuwa shida sasa
 
Kuna utoto na kuna utoto wa kiseng.e kama huu. Shule zinafunguliwa lini????
 
hivi wewe kweli ulikuwa na akili darasani?

au unatuzuga?

sasa mbona akili zako zimeyeyuka?

mwenye akili kweli umeshindwa ujanja na huyo ambaye alikuwa simple mind?

Kwamba na wewe uko so low kiasi hicho mpk unaamini huu upup.u uloandikwa na huyu mende ni wa kweli???
 
hapo umeingia choo cha kike.hebu jiulize kakosa nin kwa mumewe mpaka akufate.usije laumiwa baadae kwamba wewe ndo chanzo cha kuvunja ndoa za watu...mpe makavu laivu kwamba humtaki...

Nimeshamwambia mara kibao lakini bado haelewi. Thanks kwa ushauri
 
Mwambie unataka kumuoa, amuache mumewe aje kwako.

Duh! Hii kali. Unajua kuna watu akili zao kama kuku lakini. Unaweza mwambia hivo na akaenda kufanya fujo kwenye ndoa yake. Umepotea sana ndugu yangu!
 
Wake wa siku hizi,mwenyewe hadi simu zake sipokei maana kuna mke wa mtu mmoja ananisumbua sana. Pole ila usimgegede tena.

Nilishamwambia ile ilitokea bahati mbaya ndo maana nikahama hata nilipokuwa naishi ili asije tena kwangu.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom