Nimefuta namba zake zote

Easy!!!!!kama atakutafuta tena mwambie aje gheto,,,,then zibua choo,,akiondoka usimtafute tena akiuliza baby vp mbona kimya, mwambie kawaida tu,akitaka kuja tena gheto usimzuie,,,akija unapiga tena,,kwa kifupi mfanye mtumwa wa mapenzi kwako. Kwa sababu umeshaonesha nia kwamba haumtaki tena,,,
 
Moja ya sifa kuu za mwanaume ni kuwa na msimamo thabiti....kazi kwako.
 
Kufuta namba sio suluhisho? Moyoni umemfuta pia?. Anaweza akakupgia leo, ukapokea, what next?...
 
Kuna wengine hawanaga mapenzi ya simu kama mimi. Mapenzi si kupiga porojo, mapenzi ni vitendo. Solution ni kumuoa na kumuweka ndani ili muwe mnaongea ana kwa ana na kuachana na habari za kupigiana simu!
 
Umefuta namba ila hujaamini na unakuja kutuuliza sisi kama "umefanya kosa ama la" Sasa sisi tutajuaje. Kwa nini hukuuliza kabla? If you must know, umekosea sana. Nenda kwao kamuombe namba usave upya kabla hujafa kwa pressure. Seems you cant live without her.
 
Kitu ulichokosea ni kufuta namba wakati bado unampenda au bado hujamwacha,ungemuita umpe ukwel wake then umwambie mm na ww bas na namba zako nafuta mbele yako nawe zang zifute tusitafutane,hapo hujafanya kitu bado kijana,maana mpk kumwandikia uzi inamaana unamkumbuka,
Nb:kuchwa ni bora kuliko kuachwa utathibitisha maneno yangu siku moja.
 
Sio wote ujue tupo hivyo kama simpendi mtu namwambia ili nisimpotezee mda wake tatizo linakuja mwanaume hupendwi halaf king'ang'anizi kila ukiambiwa hutakiwi huelewi ndio yatakukuta kama ya mleta mada halaf kingine mtu hutakiwi si unajua jaman mapicha picha unayoletewa
Sawa bwana
 
Back
Top Bottom