Nimefurahi sana leo. Hivi ni mimi ndo sijui kiingereza au vipi?

kama wanakosea vichwa bya habari kias hicho vipi kwa ndani??

haya magazeti ya kimkakati ndio matatizo yake . wanaanzisha kimhemko bila kuwatafuta wataalam ili watimize malengo tuu
 
Ina maana huyo mhariri hafanyi hata "Proof Reading" kwanza kabla ya kuchapa. Sasa nini maana ya kuwa na Editor. Sidhani hata kama hili ligazeti lina bodi ya uhariri (Editorial Board) na kama lipo nafikiri ndio akina Musiba hao.
 
Utakuwa mwanalumumba, kwenye gazeti haikubaliki, vinginevyo unamtaka msomaji aanze kusahihisha makosa kabla ya kuanza kulisoma gazeti lake! BIG NO.
Haha sikujua kama kwenye gazeti hairuhusiwi kama usemavyo, ila ndo ishatokea na hilo ni gazeti. Sasa kama hairuhusiwi ndio halitaitwa gazeti?
Pili ukiisoma comment yangu haijajionesha kuwa mimi ni mwanalumumba ama nani! I wonder if your argument could be so biased. I bet you wrong, kila aliye jukwaa hili sio mwanasiasa
You feel me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hiyo tu. Angalia hata hiyo habari ya Matokeo ya form four haina heading. Kwa watu makini wanashindwa kujua wanataka kamaanisha nini? Kwanza kakosea uandishi na pia habari haina heading. Au heading ni waziri?

Hata maelezo kuhusu alichosema MD wa TRC yameandikwa hovyo sana
 
Back
Top Bottom