Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,550
- 1,422
Staki niwachoshe,wakubwa kuna maswali mengi yananisumbua sana kuhusu kabila la wamasai japo siwajui kiundani.
Wajuvi naomba mnisaidie undani wa kabila hili la wamasai,baadhi ya mambo yanayonishangaza zaidi ni:
1. Je wamasai wa kule ndani ndani nao huchanjwa kama sisi,kama jibu ni hapana sasa kwanini hawapati madhara tunayoaminishwa?
2. Je wamasai wanasali haya madhehebu yetu,kama ni hapana je watakuwa watu wa kwanza kuingia motoni au kuna uwezekano wao wakawa wenye dhambi kuliko sisi?
3. Je wao na sisi ni nani yuko hatarini zaidi katika matumizi ya kemikali na utandawazi kwa ujumla?
NB: Hizi chanjo zinazotoka huko Magharibi sisi tuna uwezo wa kuzichunguza na kubaini ufanisi wake au je zaweza kuwa ndo chanzo cha kubadili homoni za kizazi chetu na kuwa mashoga? Mtanisamehe mimi siyo mwandishi mzuri