Nimefurahi kukutana na Gentamycine

' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '
Yeah Mkuu ndiyo Mimi GENTAMYCINE JF Member asiye na mbele wala nyuma lakini ndiyo anaongelewa na kushobokewa na Watu kuliko hata Matajiri, Wanasiasa na Wasomi nchini Tanzania.

Asante Mola kwa hii Natural Charm yangu.
 
Gentamycine tunamkubali sana huyo fala, hilo liko wazi kabisa.
Kama yeye mwenyewe anajikubari mimi ni nani nisimkabali ?
Thanks for your Credits Chief. Ila mbona na Wewe husemi kuwa hii ID iliyoanzisha Uzi huu ni yangu ( Mimi Mwenyewe ) kama wasemavyo Wengine hapa na kwamba natafuta tu Popularity JamiiForums?
 
Hujakosea sina Kazi ya Kufanya kwani hata hili Bando la kuwa hapa JamiiForums huwa unaniwekea Wewe.

Ni kweli Sina Kazi ya Kufanya kwani hata Kula yangu ya Kutwa nzima Wewe ndiyo huwa unanipa Pesa ya Kula...
Nilim-quote mtumaini Mungu., kwa nini unajibu post isiyokuhusu

My take
_______
Mwandiko unaonekana wewe ni (ke)
Marital status. ....single.
 
Aaaah GENTAMYCINE mkuuu wewe ni gwiji wa magwiji asiye kubali aunde jf yake alakini mimi kama saile thinker nakuchukualia kama philosopher, GENTAMYCINE salute salutee
Asante kwa kuiona Thamani kubwa ndani yangu Mkuu na Ubarikiwe ila jiandae nawe kwakuwa Umenisifia ( Umenipongeza ) hivi kuambiwa na hii ID yako ni yangu pia kwani ID's zote hapa JamiiForums ni zangu GENTAMYCINE.

Ukitaka ukubalike na uaminike JamiiForums anzisha Uzi wa Kunikandia ( Kunichafua ) ila hizi posts zenu za Kunisifia 85% ya Haters wangu hapa ambao pia ni Fools Naturally hawapendi, hawafurahi na wameumia mno.

Asante Mola kwa hii Natural Charm yangu.
 
Thanks for your Credits Chief. Ila mbona na Wewe husemi kuwa hii ID iliyoanzisha Uzi huu ni yangu ( Mimi Mwenyewe ) kama wasemavyo Wengine hapa na kwamba natafuta tu Popularity JamiiForums?
ID mbili kivipi sasa ? Ili iweje sasa..
Genta we brand yani, kuna watu wanataka kuchafua brand tu mimi naona
 
Wewe ni MEMBER since August 3-2021..... ID ktk yako ya zamani ulitumia jina gani?
Hicho kipindi anacho jidai kujiulizia kuwa alipotea ndo kipind alifungua hii I'd ya aug 3 na akawa anaitumiatumia ili siku akija kujiulizia isionekane ni I'd mpya kwahiyo ya zamani ndo hiyo aliyo sema anafurahi kuiona imerudi
 
ID mbili kivipi sasa ? Ili iweje sasa..
Genta we brand yani, kuna watu wanataka kuchafua brand tu mimi naona
Hata katika Vitabu vya Dini wale Watu ambao Walibarikiwa sana na Mwenyezi Mungu na Kupewa Mvuto wa Kiasili na Nyota Kali ndiyo walichukiwa na Wapumbavu wengi na waliwindwa mno na Maadui Kuuwawa ila walilindwa sana na Nguvu ya Mungu. Na huyo ( huyu ) sasa ndiyo GENTAMYCINE na wala sishangai bali ninamshukuru zaidi Maulana / Mola.
 
Back
Top Bottom