Nimegundua kuwa ukipima unakuwa na furaha zaidi kwa matokeo yoyote yale. Nenda tu mkuu usihofu, mimi mara tatu narudia getini na ya nne ndo sikurudi kabisa kuchukua matokeo. Tena sasa hivi simple sana damu wanatoa kwenye kidole!
Sijajua kwanini sasa hivi wanatoa kupitia kidoleni lakini yale ambayo nilikimbia hawakutoa kidoleni.
Hongera sana mwana, maana inataka ujasiri, ngoja niwachekeshe, kuna siku nilienda kupima pale red cross, nilipoona muhudumu aliyenipima anakuja kuniita nikaanza kuondoka akaanza kunifata nyuma ananiita jina langu mie siangalii nyuma mkuku nilipofika kwenye ngazi ya mwisho kabisa akaniita jina ,akaniambia kwa sauti usikimbia mambo mazuri nikafunga bonge la brake, imagine hapo nageuka huku nasema beeeeee!!!
allicheka sana na mimi pia huku nilikuwa nimelowa jasho, kwa kweli unajisikia vizuri sana unapopima afya na kujikuta uko fresh
Ha ha haaa haaaa we Gaga unachekesha sana, Mwenzio leo niliuliza chooni nikaonyeshwa choo kiko mulemule ndani halafu hakuna mlango mwingine wa kutokea lazima upite pale alipokaa daktari. Nikaona hakuna sababu ya kutoroka katika hali kama hiyo. Halafu nilichokuwa naogopa zaidi niliwahi kuota napima pale mnazi mmoja nikakutwa nimeathirika. Si mfuasi sana wa imani za ndoto lakini hiyo ilinifanya nisiende kupima mnazi mmoja ambako ni free badala yake nikaendfa kupima sehemu ambayo nilichajiwa 10,000Hongera sana mwana, maana inataka ujasiri, ngoja niwachekeshe, kuna siku nilienda kupima pale red cross, nilipoona muhudumu aliyenipima anakuja kuniita nikaanza kuondoka akaanza kunifata nyuma ananiita jina langu mie siangalii nyuma mkuku nilipofika kwenye ngazi ya mwisho kabisa akaniita jina ,akaniambia kwa sauti usikimbia mambo mazuri nikafunga bonge la brake, imagine hapo nageuka huku nasema beeeeee!!!
allicheka sana na mimi pia huku nilikuwa nimelowa jasho, kwa kweli unajisikia vizuri sana unapopima afya na kujikuta uko fresh
Safi sana mkuu kwa kuwa jasiri, mimi nimepima nimekutwa navyo but ajabu ni kwamba ninaishi kwa furaha kuliko hapo kabla.Hapa siwezi kukuongopea yale maswali yanatisha ndugu yangu na usipokuwa jasiri unaweza kujikuta unabadilisha uamuzi wakati uleule wa maswali
Hongera sana mdau,ni hatua kubwa na muhimu sana katika karne hii,nenda tena after 3months,tunza status yako,usimwamini hata atakayekwambia yeye ni neg bila kwenda nae mguu kwa mguu tena kabla hajawa mke/MUME usikubali bila kinga kijana.Napenda waJasiri kama wewe.HONGERA SANA!:smiling::smiling:Hapa siwezi kukuongopea yale maswali yanatisha ndugu yangu na usipokuwa jasiri unaweza kujikuta unabadilisha uamuzi wakati uleule wa maswali
yaani ndugu yangu mimi sitakaa nipime naogopa kinoma
Hongera mkuu umefanya lisilowezekana hongera sana
ndugu yangu hayo unayosema ni serious?au kautani?lakini siamini kama nitaweza hata kufika pale getini
Halafu kwa jinsi nilivyokiona kile kipimo kilichotumika kuna uwezekano mkubwa kila mmoja akawa nacho. Ingekuwa ni uwezo wangu vile vifaa ilibidi vipatikane kwenye GESTI zoote, pia kila anayehusika na ufungishaji ndoa kwa namna moja au nyingine pia awe nacho. Ingependeza sana.Sasa nyie mnaosema hamtapima inamaana hamtakujaoa? Mi navyojua mfano kwa wakristo ukitaka kuoa inakubidi mpime kwanza.
Halafu kwa jinsi nilivyokiona kile kipimo kilichotumika kuna uwezekano mkubwa kila mmoja akawa nacho. Ingekuwa ni uwezo wangu vile vifaa ilibidi vipatikane kwenye GESTI zoote, pia kila anayehusika na ufungishaji ndoa kwa namna moja au nyingine pia awe nacho. Ingependeza sana.