wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Ameniwakia kinoma!! In nature mm ni mkali kidogo!! Ila usiku nilikuwa mdogo kama piritoni, yaani alinananisha hadi nikajiona fala na utetezi wanguBe her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...
Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...
Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..
Pole.
Yaaani sasa hv nimekuwa mdogo, nimejilaza kitandani naona aibu mwenzangu nadhani amejua natesekaUmezini kwa hisia, vitendo bado.
Labda nikuulize swali, ikitokea umekutana na huyo mliyekuwa mkichat pamoja na akawa willing mfanye, haitafanya?
USHAURI:
Ongea naye ili mrekebishe mapungufu madogo katika familia yenu yanayokufanya ufikirie kuridhishwa na mtu nje ya ndoa. Kuna shida kidogo hapo si bure.
Usiogope, alichopanga yeye ni atagawa mchezo kwa baharia mmoja nje.
Wew hakufany kitu usiogope.
NakaziaUkiona hivyo ujue msaidizi wako leo anaoandishwa cheo.
Shkamoo mamaππ½Be her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...
Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...
Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..
Pole.
Then njfanyeje!??πππ hajasamehe nakuhakikishia hilo!