Acha hizo mkuu, hili jambo halijakukuta tumke wako kapata bwana maarufu sana duniani aliwahi ku act picha na yule van damme marasta! usichezee bahati hiyo bro.
Hahahahaaaaaa,,,,,,,acha unaa mkuuNikisema nahitaji mwanamke wa kuoa kesho ntadanganya, hatutaruka steji
Mkuu huyu mkeo ndio ulimpata hapo
Kama amesema harudi itakuwa amekurahisishia sana huyo amekuchoka achana naeMeseji inasema:
"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".
Iko hivi...
Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.
Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.
Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".
Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
NYONGEZA
================
*M-Pesa jamaa anaonekana jina lake kamili ni BONI MANYANKI
*simu nipo nayo mpaka sasa
*nimemchek whatsapp dp nimescreenshot ninayo picha yake but sjui kama sheria JF inaruhusu nipandishe hapa
*wife kaniambia harudi home nifanye nitakalo
Tena haina sukariSijui kwanini nahisi hii ni chai!
Acha kabisa mkuu, ila kumbe jina lake ni BONI MANYANKIBoloyank aisee wanawakeeeeeee
Hili halina mjadala, utartbu wake unakuaje sasa. Hii ndoa ya churchAhahaa mpe Red cad no way
Leo atakoma
Weee mkuuu weee ,,sasa demu anakuambia *ufanye utakalo **Acha kabisa mkuu, ila kumbe jina lake ni BONI MANYANKI
Labda kweli nayo nichai !!.Tena haina sukari
Putin nimekuelewa sana mkuu, yan sana aisee. Nitakutafta ebuPole mkuuu ,, najua maumiv unayopitia hapo hayaelezeki , naunaona kila kitu nikichungu .
Ngoja nikuambie kitu ,, ulishawah ukakaa ukafikiria hatima ya Hasira ??? .
Ona ,mkuuu Hasira nihasara ,,Alafu kwann ufanye mambo yahasira ,, Kiss kajanamke kasojielewa ??? Mkuuu kanamke kenyewe siuliamua kukaoa ili kutimiza ahadi yakutoonekana ulikua unamchezea !!?.
Sasa kwann upumbavu wake ukuletee shida alafu mwisho wasiku aendelee kufanya upumbav wake ????.
ONA MAN ,, WEWE NIMWANAMME WANGUVU NASIKU ZOTE UTABAKI KUA MWANAMME WANGUVU ,, HAINA HAJA YA KUENDELEA KUWAZA TATIZO LISOKUA LAKO ,, KWANN UWAZE WAKATI UKO NJE KUNA MWANAMKE ANAKUPENDA NAKILA SIKU ANATAMAN HATA UMSALIMIE ???? YAAAN NAWW UUMIZWE NA MWANAMKE ASOJITAMBUA ????.
AAAHHHH BANA MKUUU ,,EMBU ACHA ACHA IZO MAMBO BANA. WEWE NI HB WANGUVU , UNAJUA KUPENDA NA UNAJUA KUJALI SANA ,, WEWE NIMWANAMME AMBAYE MWANAMKE MWENYE AKILI HUTAMAN KUA NAWEWE . WEWE NIMCHAPAKAZI KAZI WANGUVU ,, WEWE NIMWANAMME AMBAYE UKITOKA TU NJE NAKUSEMA UNAITAJI MWANAMKE WANAKUJA WENGI MPAKA UNAWAKATAAA
SASA MKUUUU IVI KWELI UVURUGE LAIFU LAKO KISA MWANAMKE ASOJIELEWA ??? AAHHHHHH HATA MIMI RAFIKI YAKO ,NITAKUDHARAU SANA NA HATA MBINGU HAZITOKUJA KUKUSAMEHE KAKA.
ONA ,MWANAMKE ASOJUA KULAI MAPENZI HUWA SIO MJUZI WAKUPENDA NASIKU ZOTE HATA UMFANYIE NINI HUWA HAJUI MAANA YAMAPENZI NAHATOKUJA KUELEWA ,, NISAWA NAPUNDA ULOMPELEKA MTON KUNYWA MAJI LKN BADO AKOGOMA KUNYWA ,,UTAMPIGA ???????.
KWANZA ,,NINGEKUA MIMI NINGESHUKURU KWAMBA HATIMAYE NIMEJUA UJINGA WAKE ,,WENDA KWAKUTOJUA ,ANGENILETEA UKIMWI ,,ANGENISINGIZIA MIMBA ,,, ALAFU NAMIGOGORO ISINGEISHA ,,SASA MWENYEWE KALIKANYAGA ,, UMEJUA UKWELI ,,UNATAKA KUJIUA ??????.ALAFU ILI IWEJE ?????
UMEWAZA JUU YA WAZAZI WAKO ??? NDUGU ZAKO ???? VIPI MWANAO ???? JE UMEMSAHAU YULE MTU WAKO UNAYEMPENDA SANA KUPITA MAELEZO (MAMA) ??? SASA HAO UNATAKA UWAACHAJE ??? NAVILIO UONEKANE MWANAMME ALOSHINDWA ?????? AU NATABASAMU UONEKANE MWANAMME ALOKAMILIKA ?????.
Hamna. ,, akimshitaki sio dili ,, maana shitaka linapunguza AIBU .Pole kaka, hao ndo unasikia wajapan, ni boloyung haswa na kipindi ukiingia nae bank anakubembeleza mshitaki kwa mamamkwe wako km umeoa musoma au kwa wameru,![]()
Lete thread zoteNikisema nahitaji mwanamke wa kuoa kesho ntadanganya, hatutaruka steji
Mkuu huyu mkeo ndio ulimpata hapo
Changamsha jukwaa tu hana mke huyuLeo atakoma