Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

Kwanza shukuru mungu kaamua kukonyesha mwenendo wa huyo mkeo chukua maamuzi sahihi usijeponza nafic yako tendo la ndoa shiriki naye kwa condom mwambie unaipenda afya yako

Duh we una moyo sana...yaani hapo biashara imekwisha unataka jamaa afe kwa presha?...
 
Kuna kitu kimoja. kwamba ukweli umepita hapo na huyo anayepita na apite tu na wewe usahau milele.
Njia wakanyagayo watu ndo huchimbika na wakati mwingine kuharibika lakini waliokwishapita wamepita wajao ndo hukuta mashimo. Na baadaye hutengeneza njia nyingine pembeni na ile ikaota magugu. Je, utairudia tena kuilima uanze kupita?
 
Back
Top Bottom