Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

Duu pole sana aisee. Wife kakutana na muhogo wa haja, akishaizoea inabidi ujiandae kuogelea kwenye bwawa
 
wiki3 hujamtia wenzio wanakusaidia we unalialia kama lofa humu...acha ufala boloyank anapasua mawimbi huko tena mkeo ashaanza kuizoea mamaeee ukija kutia wew atakuona kibamia maana full kupwaya.....
MWANAUME MASHINE
 
Sijui kwanini nahisi hii ni chai!
Huyu jamaa anahaki zote muhimu za kuchapiwa mke wake

Unakaaje na mke miezi yote hiyo hakuna maelewano? Yaani huyu jamaa bhana sijui nimchangulie tusi gani litakalo mfanya atape BP,

Mwanamke hasusiwi ukisusia vibe 10 wanasherekea
 
Duuuh jamaa ana mtango pori pole ingekua story ya kweli ninge kushauri but hii kamba ya kufungilia weekend
 
Meseji inasema:

"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".

Iko hivi...

Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.

Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.

Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".
WEWE ENDELEA KUKAA KIMYA MWENZAKO ANAENDELEA KULIPANUA SHIMO UTASHTUKIA AMEANZA KUKUWEKA KWENYE GROUP LA WENYE VIBAMIA.HILO SHIMO LIKIPANUKA NDIO BASI TENA.USHAURI WANGU MWAMBIE KUNA VITU UNAFANYA NA HUYO BOLOYANK ACHA KWANI NAVIFAHAMU NA USINIULIZE NIMEJUAJE NA SIKUULIZI TENA ILA NATAKA UJUE TU KUWA NAJUA.

Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
 
Back
Top Bottom