Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

Kuna watu hua hawaamini thread za namna hii kwa kua hazikuletwa na waliowashika akili,baadhi ya wana jf hawakui kimawazo kutokana na kuamini baadhi tu ya watu,binafsi nahisi ni kweli mana hua yanatokea sana
 
pole sana ngudu, haya mambo hayana mjanja, haya huyo boloyank naye yatqmkuta kama yakivyo kukuta wewe, bilieve me , chakufanya hapo, jichomoe hakuna ndoa tena haoo, nuksi imesha ingia kwenye ndoa yako ndugu ,

huo mgogoro unaondealea kwenye ndoa yenu week nzima na hata hamchapani usiku chanzi ni huyo boloyank, hivyo mke amesha hamisha hisia za mapenzi kwa boloyank hata kama mkasuluhisha bado mke wako ataenda kwa boloyank tu , chakufanya achana naye sasa tafuta mwingine atakaye tambua dhamani yako kama mwanaume
 
Pole sana mkuu..na akiizoea sbb ana **** kubwa huyo jamaa kuachwa ni vigumu sana..kama una mpenda kemea ilo suala haraka..na pia inawezekana huyo ni mfanyakazi mwenzake..achisha kazi ikiwezekana.
Asante. Nimemchek m-pesa jina lake ni BONI MANYANKI
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
MATHAYO 19:9.... Kazi kwako, Ingawa kwenye Malaki 2:16 anasema "anachukia Talaka"....
 
Msimu huu wa likizo tutashuhudia hadithi nyingi sana,

Hongera kwa utunzi maridadi kabisa
 
Meseji inasema:

"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".

Iko hivi...

Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.

Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.

Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".

Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
Ukisusa wenzio wala...utamsusiaje Mkatoliki mbuzi Katoliki rost [emoji117]
22794317_1944062795812064_7521613592253169664_n.jpg
na
tusker.jpg
..[emoji39] [emoji38] [emoji38]
 
Meseji inasema:

"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".

Iko hivi...

Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.

Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.

Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".

Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
Duh meshtuka kama ndio mimi vile
 
Kwa kweli kisaikolojia hii Jf inatuathiri ambao hatujaoa maana binafsi yakinikuta hayo nitaua bila kukusudia
 
Back
Top Bottom