Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

My name is Amicus Curiae, a very prominent lawyer in ..... City.

Nilifika pale ofisini mapema sana miaka kadhaa iliyopita wakati ofisi iko kwenye kipindi kigumu, nikaishi nao hivyohivyo tena kwa upendo, nikawafundisha kazi makumi ya Wanasheria (Mawakili)...
Pole sana, mungu atafungua njia nyingine.
 
My name is Amicus Curiae, a very prominent lawyer in ..... City.

Nilifika pale ofisini mapema sana miaka kadhaa iliyopita wakati ofisi iko kwenye kipindi kigumu, nikaishi nao hivyohivyo tena kwa upendo, nikawafundisha kazi makumi ya Wanasheria (Mawakili)...

Sema tu kuna kitu umeharibu mwana, Mwanasheria mbobezi hawezi fukuzwa kazi bila sababu za msingi.
 
Ni changamoto za maisha tu hata kipindi cha jiwe alipofukuza watu kazi, watu walionyong'onyea na kujisikia vibaya walipata hadi mapresha lakini baadae wakasimama na wakasonga mbele hilo ndio kubwa na lamsingi, mwanadamu ni character ya ajabu sana ni kuishi nao kwa akili tu, move on
 
My name is Amicus Curiae, a very prominent lawyer in ..... City.

Nilifika pale ofisini mapema sana miaka kadhaa iliyopita wakati ofisi iko kwenye kipindi kigumu, nikaishi nao hivyohivyo tena kwa upendo, nikawafundisha kazi makumi ya Wanasheria (Mawakili), wakafanikiwa na wengine hawakuaga baada ya kuona mafanikio, boss akawa anawanung'unikia kwangu...
Mkuu umefanya kazi miaka mingi namna hiyo bila kupewa partnership kwenye law firm aseeh?
 
My name is Amicus Curiae, a very prominent lawyer in ..... City.

Nilifika pale ofisini mapema sana miaka kadhaa iliyopita wakati ofisi iko kwenye kipindi kigumu, nikaishi nao hivyohivyo tena kwa upendo, nikawafundisha kazi makumi ya Wanasheria (Mawakili), wakafanikiwa na wengine hawakuaga baada ya kuona mafanikio, boss akawa anawanung'unikia kwangu...
Hili lisikupunguzie utu na wema wako kwa binadamu, yote hutokea kutimoza utimilifu!
Mungu akubariki sana!
 
My name is Amicus Curiae, a very prominent lawyer in ..... City.

Nilifika pale ofisini mapema sana miaka kadhaa iliyopita wakati ofisi iko kwenye kipindi kigumu, nikaishi nao hivyohivyo tena kwa upendo, nikawafundisha kazi makumi ya Wanasheria (Mawakili), wakafanikiwa na wengine hawakuaga baada ya kuona mafanikio, boss akawa anawanung'unikia kwangu...
Pole sana mkuu Mungu atakusimamia
 
Makazini watu unaofanya nao kazi wakikuona una vitu vya kipekee ambavyo wao Hawana basi hukufanyia figisu Ili uweze Kuondoka.Lakini kwenye Maisha Kila jambo hutokea Kwa sababu.Kila baya Kuna kitu kinakufundisha na kukufanya kuwa imara muda wote.Watu Wana Roho mbaya Sana.
 
Back
Top Bottom