Kudharaulika kumenipa maisha Leo mwaka 5 Nina uelekeo mzuri

Very poor

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
347
509
Habar wanajamvi, Ilikuwa mwaka 2013 baada yakumaliza masomo ya Elimu ya O level, siku Moja nikaamua kutoka Kijiji kwenda mjini tabora Kwa ajiri yakutfta kazi (jeshi), huku nikiwa sijui wap nitafikia nikiwa njiani nilipata akili Moja nikampgia simu mjomba wangu ambaye jina lake sitoweza kuritaja hapa nikamweleza kuwa mjomba nipo njiani naelekea tabora Kwa ajili yakutfta kazi ya jeshi yaan kujiunga na jkt Kwa kujitolea. Bas mjomba alinipa hongera nakuniambia kuwa ataniunganisha na Mama mmoja ambaye ni ndg yetu ambaye naye anafanya kazi huko tabora (mwalimu).

Ni kweli mjomba alimitumia namba yake na Mimi nilimpgia na akaniambia yupo safarini lakini watoto wake watanipokea maana ilikuwa siku yangu ya kwanza kufika Tabora,

Alhamdulillaah, nilifika tabora majira ya saa kumi jion na kweli nilipokelewa na wale watoto wake nakukaribishwa nyumbn, nilifurahi Sana! Maana watoto wake umri tulikuwa tunaendana Kwa hyo kwangu niliona ni fursa pekee ambayo nitaweza kupata mawazo mapya,

Ilipofika saa kumi na nusu siku hiyo hiyo kumbe yule ndg yetu ameolewa na jamaa mmoja ambaye anafanya kazi ofisi Moja kubwa hapo mkoani tabora,

Alipofika tu nakunikuta nimetulia pale nyumbni Kwa heshima nilisimama nakumsalimia shikamoo! Naye aliitikia Kwa kiburi Kwa marahabaaa, dakika Moja mbele alimuita mtoto wake mkubwa nakumuuliza mmemtoa wapi mtu huyu? Mwanaye alijibu ni ndugu yake Mama katokea kijijin, aiseeee yule jamaa aliongea Kwa sauti, ivi huyu analetaleta watu ovyo ovyo tu hapa bila taarifa! Binafsi nilisikia nakujisikia vibaya Sana baada ya kuwa ametamka maneno Yale.

Ilipofika kesho yangu nilimpgia simu mzazi wangu nakumueleza nilifika salama na nipo mzima wa afya lakin pia nilimweleza changamoto niliyoikutana nayo kwenye hiyo familia, baada yakumweleza mzazi wangu aliniambia mwanangu jiandae tu urudi huwez kukaa hapo kazi hiyo pengine siyo riziki Yako, na Mimi Kwa kuwa nilikuwa na hasira nilimwambia Haina shida, nilijiandaa nakurudi kijijini kwetu Kijiji X.

Siku nafika nyumbn kesho yake nikasema ngoja nikaulizie nafas za jeshi wilayani pengne zimetangazwa, na kweli kesho yake nilifanya hivyo bila kuchelewa nikiwa nimeandika na barua yakuomba kujiunga na jkt Kwa kujitolea. Ile nafika tu ofisini maombi yangu yulipokelewa na wakaniambia Leo ilikuwa mwisho kupokea maombi hivyo wewe ndye wa mwisho, hivyo siku ya interview itakuwa siku tatu mbele, nilifurahi Sana!

Siku ya interview ilifika na Mimi niliamka mapema Sana nakuhudhuria interview husika nikitokea kijijin na baiskeli ambayo pia niliazima Kwa jirani. Baada yakufika tulitangaziwa nafas zilizopo ni 8 Kwa watu wenye Elimu kama yangu, na wengne watatu wenye sifa tofauti. Interview ilaanza watu wakaanza kuingia kwenye interview huku porojo Kila mtu niliyemkuta kwenye interview anasema Kuna ndg yake kwenye kamati yakuchagua, bas nilijipa moyo Kwa kusema lolote na liwe Ila tu nishiriki interview.

Niliingia kwenye interview huku nikiwa na ujasiri mkubwa, niliulizwa maswali kadhaa mengi niliyajibu Kwa usahihi ijapo pia yapo niliyoshindwa.

Baada ya watu wote kumalizika mkuu wa wilaya alikuja kusoma majina ya waliochaguliwa kudhuria majina sita yakasomwa bila kusikia jina langu, ilipofika jina la Saba, jina likaitwa jina langu aiseee niliitika Kwa sauti kubwa Sana hata umma ulishangaa,

Bas baada ya mkuu wa wilaya kumaliza alisema maneno haya " Jumla ya watu waliotuma maombi walikuwa 236, nafs Jumla zilikuwa 10, kwa jinsi zote me 8 na ke 2. Baada ya hapo tulipelekwa mkoani Kwa ajili ya usaili mkoa napo nilipita bila waswas Kwa uwezo wake Mungu,

Nilipangiwa Kambi Moja ya jkt, ambapo nilihudhuria mafunzo Kwa kipindi Cha miez 6, baadaye nilikapelkwa Kambi nyingne Kwa ajili ya malezo, baada ya hapo usaili ulikuja nilifanya na hatimayeeeee, kupata kibarua.
Leo nikiwa tabora nimekutana na yule mzee nimemuuliza unanikumbka? Ananijibu hanikumbki nimemkumbusha yote aliyonifanyia kipindi kile nikiwa kwenye hatua zakutafta kutambaaa, baada yakumaliza kuongea na naye nimemwachia kitita na Hadi kuniomba phone no yangu,

Hivyo Kila mtu ana ridhiki yake, acha kukashifu watu kama hujafurahishwa na kitu Kaa kimya,

Sory for typing error

Tanzania ipo mikono salama
 
Hivi kweli unaondoka tu kutoka kwenu na kisha ukiwa barabarani ndo waanza toa taarifa.
Maisha hayako hivyo watakiwa ujipange na uwataarifu unapoenda fikia na lengo lako.
Mtalaumu watu bure

Eti akaitikia kwa dharau, mtu hamjawahi onana labda ndo alivyo, we siku moja tu ushaalialia kwa mama yako.
 
Mwenyezi Mungu akubariki Kwa kutokuwa na moyo wa kisasi.
 
Hivi kweli unaondoka tu kutoka kwenu na kisha ukiwa barabarani ndo waanza toa taarifa.
Maisha hayako hivyo watakiwa ujipange na uwataarifu unapoenda fikia na lengo lako.
Mtalaumu watu bure

Eti akaitikia kwa dharau, mtu hamjawahi onana labda ndo alivyo, we siku moja tu ushaalialia kwa mama yako.
Kwahiyo mtu kama ndo unamwona kwa mara ya kwanza ndo umdharau🙄🙄🙄
 
Kama alikuangalia kwa dharau pole sana.
Ila ni ustaarabu wa kawaida kabisa kutoa taarifa huko uendako kuwa unaenda, waridhie kuwa kuna mgeni wa namna hii na huenda atakaa kwa muda fulani. Atalala hapa, ataishi hivi na mambo kama hayo.
Kwenda kwa mtu bila taarifa labda hata pa kukulaza hana inakuwa unatia majaribuni wenyeji wako. Tena kwa siku hizi dunia ilivyoharibika ndio kabisaa mgeni unaweza usieleweke. Unamkaribisha kijana usiyemjua na hamjawasiliana juu ya ujio wake huna pa kumlaza inabidi alale na wanao...usiku anawafanyia ujinga....argh!
 
Mkuu, kumbka Mimi sikuwa nafaham kama Kuna ndgu maeneo hayo, lakin nikiwa njiani wazo lilikikuja Lakumtfta mjomba wangu ambaye naye pia aliniunganisha na huyu mama yangu, huo muda wakumjulisha mmewe ningeupata wap Ilihali hata namba ya Mama nilitumiwa
 
Hivi kweli unaondoka tu kutoka kwenu na kisha ukiwa barabarani ndo waanza toa taarifa.
Maisha hayako hivyo watakiwa ujipange na uwataarifu unapoenda fikia na lengo lako.
Mtalaumu watu bure

Eti akaitikia kwa dharau, mtu hamjawahi onana labda ndo alivyo, we siku moja tu ushaalialia kwa mama yako.
Unachokisema kipo sahihi kabsaa, lakin kumbka wazo nilipata nikiwa njiani yaan safarini, lakumshirikisha mjomba wangu Naye ndyo akaniunganisha na Mama,
But yote Kwa yote Ashkuriwe mwenyezi Mungu.
 
Hivi kweli unaondoka tu kutoka kwenu na kisha ukiwa barabarani ndo waanza toa taarifa.
Maisha hayako hivyo watakiwa ujipange na uwataarifu unapoenda fikia na lengo lako.
Mtalaumu watu bure

Eti akaitikia kwa dharau, mtu hamjawahi onana labda ndo alivyo, we siku moja tu ushaalialia kwa mama yako.
Je ni sahihi kutoa lugha kama ile mbele ya mgeni
 
Habar wanajamvi, Ilikuwa mwaka 2013 baada yakumaliza masomo ya Elimu ya O level, siku Moja nikaamua kutoka Kijiji kwenda mjini tabora Kwa ajiri yakutfta kazi (jeshi), huku nikiwa sijui wap nitafikia nikiwa njiani nilipata akili Moja nikampgia simu mjomba wangu ambaye jina lake sitoweza kuritaja hapa nikamweleza kuwa mjomba nipo njiani naelekea tabora Kwa ajili yakutfta kazi ya jeshi yaan kujiunga na jkt Kwa kujitolea. Bas mjomba alinipa hongera nakuniambia kuwa ataniunganisha na Mama mmoja ambaye ni ndg yetu ambaye naye anafanya kazi huko tabora (mwalimu).

Ni kweli mjomba alimitumia namba yake na Mimi nilimpgia na akaniambia yupo safarini lakini watoto wake watanipokea maana ilikuwa siku yangu ya kwanza kufika Tabora,

Alhamdulillaah, nilifika tabora majira ya saa kumi jion na kweli nilipokelewa na wale watoto wake nakukaribishwa nyumbn, nilifurahi Sana! Maana watoto wake umri tulikuwa tunaendana Kwa hyo kwangu niliona ni fursa pekee ambayo nitaweza kupata mawazo mapya,

Ilipofika saa kumi na nusu siku hiyo hiyo kumbe yule ndg yetu ameolewa na jamaa mmoja ambaye anafanya kazi ofisi Moja kubwa hapo mkoani tabora,

Alipofika tu nakunikuta nimetulia pale nyumbni Kwa heshima nilisimama nakumsalimia shikamoo! Naye aliitikia Kwa kiburi Kwa marahabaaa, dakika Moja mbele alimuita mtoto wake mkubwa nakumuuliza mmemtoa wapi mtu huyu? Mwanaye alijibu ni ndugu yake Mama katokea kijijin, aiseeee yule jamaa aliongea Kwa sauti, ivi huyu analetaleta watu ovyo ovyo tu hapa bila taarifa! Binafsi nilisikia nakujisikia vibaya Sana baada ya kuwa ametamka maneno Yale.

Ilipofika kesho yangu nilimpgia simu mzazi wangu nakumueleza nilifika salama na nipo mzima wa afya lakin pia nilimweleza changamoto niliyoikutana nayo kwenye hiyo familia, baada yakumweleza mzazi wangu aliniambia mwanangu jiandae tu urudi huwez kukaa hapo kazi hiyo pengine siyo riziki Yako, na Mimi Kwa kuwa nilikuwa na hasira nilimwambia Haina shida, nilijiandaa nakurudi kijijini kwetu Kijiji X.

Siku nafika nyumbn kesho yake nikasema ngoja nikaulizie nafas za jeshi wilayani pengne zimetangazwa, na kweli kesho yake nilifanya hivyo bila kuchelewa nikiwa nimeandika na barua yakuomba kujiunga na jkt Kwa kujitolea. Ile nafika tu ofisini maombi yangu yulipokelewa na wakaniambia Leo ilikuwa mwisho kupokea maombi hivyo wewe ndye wa mwisho, hivyo siku ya interview itakuwa siku tatu mbele, nilifurahi Sana!

Siku ya interview ilifika na Mimi niliamka mapema Sana nakuhudhuria interview husika nikitokea kijijin na baiskeli ambayo pia niliazima Kwa jirani. Baada yakufika tulitangaziwa nafas zilizopo ni 8 Kwa watu wenye Elimu kama yangu, na wengne watatu wenye sifa tofauti. Interview ilaanza watu wakaanza kuingia kwenye interview huku porojo Kila mtu niliyemkuta kwenye interview anasema Kuna ndg yake kwenye kamati yakuchagua, bas nilijipa moyo Kwa kusema lolote na liwe Ila tu nishiriki interview.

Niliingia kwenye interview huku nikiwa na ujasiri mkubwa, niliulizwa maswali kadhaa mengi niliyajibu Kwa usahihi ijapo pia yapo niliyoshindwa.

Baada ya watu wote kumalizika mkuu wa wilaya alikuja kusoma majina ya waliochaguliwa kudhuria majina sita yakasomwa bila kusikia jina langu, ilipofika jina la Saba, jina likaitwa jina langu aiseee niliitika Kwa sauti kubwa Sana hata umma ulishangaa,

Bas baada ya mkuu wa wilaya kumaliza alisema maneno haya " Jumla ya watu waliotuma maombi walikuwa 236, nafs Jumla zilikuwa 10, kwa jinsi zote me 8 na ke 2. Baada ya hapo tulipelekwa mkoani Kwa ajili ya usaili mkoa napo nilipita bila waswas Kwa uwezo wake Mungu,

Nilipangiwa Kambi Moja ya jkt, ambapo nilihudhuria mafunzo Kwa kipindi Cha miez 6, baadaye nilikapelkwa Kambi nyingne Kwa ajili ya malezo, baada ya hapo usaili ulikuja nilifanya na hatimayeeeee, kupata kibarua.
Leo nikiwa tabora nimekutana na yule mzee nimemuuliza unanikumbka? Ananijibu hanikumbki nimemkumbusha yote aliyonifanyia kipindi kile nikiwa kwenye hatua zakutafta kutambaaa, baada yakumaliza kuongea na naye nimemwachia kitita na Hadi kuniomba phone no yangu,

Hivyo Kila mtu ana ridhiki yake, acha kukashifu watu kama hujafurahishwa na kitu Kaa kimya,

Sory for typing error

Tanzania ipo mikono salama
Aiseh pole
 
Back
Top Bottom