Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

pole sana SPIKA-Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe! zaidi akupe nguvu za kuishinda huzuni uliyonayo na usiingie majaribuni.
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Pole Sana mkuu;

Yote ni mipango ya mungu, yeye alitupatia na sasa amechukua kiumbe chake. Kazi ya Mungu haina makosa. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

Pole sana

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
pole Spika na familia yako, tunakuombea faraja ya mwenyezi Mungu iwe nanyi katika kipindi hichi kigumu
 
MWENYEZI MUNGU akutie nguvu na faraja wewe na familia yako katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mwanao kipenzi. POLE SANA
 
I am very sorry for your kid mr. Spika!may our God give you streigth during this hard period.
 
Ahsante sana wana JF wote mlio kua nami ktk harakati za msiba kuanzia juzi usiku mpaka leo hii asubuhi.
Shukran za pekee zimuendee PAKAJIMMY wa ARUSHA aliyethubutu kunipigia simu na kunipa pole kwa yaliyonisibu.
Jana tumezika salama ktk makaburi ya KIPUNGUNI "A" BANANA-UK.
Wana JF nataka kuanzisha tread mpya itakayo zungumzia yaliyonisibu MUHIMBILI HOSPITAL.
So naombeni mawazo yenu ili niitoe au lah???

yatoe kaka watu tuyajue na tujue jinsi ya kukabiliana nayo pole sana
 
Ahsante sana wana JF wote mlio kua nami ktk harakati za msiba kuanzia juzi usiku mpaka leo hii asubuhi.
Shukran za pekee zimuendee PAKAJIMMY wa ARUSHA aliyethubutu kunipigia simu na kunipa pole kwa yaliyonisibu.
Jana tumezika salama ktk makaburi ya KIPUNGUNI "A" BANANA-UK.
Wana JF nataka kuanzisha tread mpya itakayo zungumzia yaliyonisibu MUHIMBILI HOSPITAL.
So naombeni mawazo yenu ili niitoe au lah???
Mkuu,
pOLENI kwa mazishi na Mungu akusaidie kukubaliana na maamuzi yake.
Kuhusiana na hiyo ishu ya Muhimbili:
Mkuu,
Hapa tuko kwaajili ya kushauriana, ku'share experience, na kujuzana.
Suala kama hilo ni muhimu sana kulijua, maana sisi wote ni wagonjwa watarajiwa, na hivyo ni lazima tutakumbana na watendaji hao hao uliokumbana wewe, na iwapo tutakuwa tumepewa hint na wewe kwa baadhi ya mambo itasaidia.
Lete habari utujuze.
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Mwenyeezi Mungu awape nguvu na imani katika kipindi hiki kigumu.
Kwa anaye muamini muumba wake wakati wa hali ngumu na uchungu mkuu naye humgeukia na kumpa nguvu wakati wote

Poleni sana
 
Pole sana ndugu yangu Mungu akusaidie na familia yako katika kipindi hiki kigumu. pole sana mkuu
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
...Aisee pole sana kwa kuondokewa na kijana wako. Nakuombea kwa mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kabisa.
 
pole sana mkuu kwa msiba ... mwenyezi mungu akujalie moyo mkuu katika kipindi kigumu
 
Back
Top Bottom